Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Hakika umenena vyema siku hizi wamejaa sana mijini kuja bila plan wakati sisi tushaona jiji la biashara tunaenda huko mashambani kuwekeza wanapopakimbia tukirudi mjini ni kuja kuleta bidhaa wao wanakuja mikono tupu unategemea nini kama si ndiyo hao hao wanaishia kuwa gays nakulichafua jiji.Umesema kweli. Hamna mwanaume ambaye anajishuhulisha halafu akapata muda wa kuwa mbea. Wanaume wenye maneno mengi ni ma jobless na hawataki kazi ndio maana wanapata muda wa kujifunza misuto mipya mipya .