KwakweliNdo wamejaa humu mbona
Wadau kwenye comments wanadai hamna shughuli πππ ni kawaida etYani mi nataka kujifunza kitu kipya tu basiπππ
Ndo upoje umbea? Kama ni kuongelea mambo ya watu basi na wanaume tunafanya sana tu.Mpira sio umbea. kujadili mpira sio umbea. Umbea mbona upo wazi kabisa?
Anatokea mwanaume kakuelewa bodaboda anamwambia bro pale hamna kituπbodaboda na madalali wa mtahani hao acha kabisa unaweza kuta wanajua habari zako kuliko hata wewe unavyojua.
Kwa hiyo mwanamke wangu nimuache tu anasutwa nisimsaidie?Ndo wamejaa humu mbona
Mpaka niione nyingine zote zilinipita hata hii sikubaliWadau kwenye comments wanadai hamna shughuli πππ ni kawaida et
ππUtavishwa dela shauriloKwa hiyo mwanamke wangu nimuache tu anasutwa nisimsaidie?
Tena Kapiece nikikukuta unamsuta mwanamke wangu nitakuchamba hadi ulie.
Chezea mimi wewe..
upewe hela halafu wewe utoe **** tu?Ni aibu sana jamani. Mwanaume yeye anatakiwa atafute mapesa ampe mpenzi wake security nzuri na sio kumsaidia kutupiana maneno na wanawake.
Mchukue mpeleke nyumbaniKwa hiyo mwanamke wangu nimuache tu anasutwa nisimsaidie?
Tena Kapiece nikikukuta unamsuta mwanamke wangu nitakuchamba hadi ulie.
Chezea mimi wewe..
Nawaonaga. Mwanaume kazungukwa na wanawake 10+ yeye ni kuwapa tu maumbea. Mada za wanaume za maana huwezi wakuta. Wao wapo kwenye mada za wanawake kugombana na kusutana. Usidhani wapo hapo kushauri, wapo hapo kuchochea moto na kuongeza kuni kwa kugawa maubuyu waliyoyapata kwa njia za kunyapia nyapia. Wanaume hao.Aina hii sasa ndo wamejaa humu
HahaaMpaka niione nyingine zote zilinipita hata hii sikubali
viclip vimejaa twitter, video nzima sijui inapatikanaje
Hapa sasa umetembea mule mule basi hakuna watu wananikera humu kama hao utakuta wapo vigroup vya kusengenya ukisoma unagundua ni ID za kiume aibu sanaNawaonaga. Mwanaume kazungukwa na wanawake 10+ yeye ni kuwapa tu maumbea. Mada za wanaume za maana huwezi wakuta. Wao wapo kwenye mada za wanawake kugombana na kusutana. Usidhani wapo hapo kushauri, wapo hapo kuchochea moto na kuongeza kuni kwa kugawa maubuyu waliyoyapata kwa njia za kunyapia nyapia. Wanaume hao.
Nifanyie msaada basi na wewe upo kunicheka tu kwenye commentsviclip vimejaa twitter, video nzima sijui inapatikanaje
Sikutegemea kucheka hiviππππ.Kwa hiyo mwanamke wangu nimuache tu anasutwa nisimsaidie?
Tena Kapiece nikikukuta unamsuta mwanamke wangu nitakuchamba hadi ulie.
Chezea mimi wewe..
Hawa wanaletaga story za mastaa hawana tabia za hii mada kabisa nawateteaHaya yote wamesababisha akina Hance Mtanashati na mwenzake sinza pazuri
Hahahaaa, si nawachamba kidogo ndio namchukua..Mchukue mpeleke nyumbani
Sio nawe uingilie misuto jamani
Sasa kama unaona kunipa hela sio halali si bora ujitulize huko kuliko kuja kuchambana kisa nimechambwa? Hapo unakuwa umenidhalilisha hadi mimi maana nitaonekana nina mwanaume zero brain.upewe hela halafu wewe utoe **** tu?
what else do you have to offer?