Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

Wapi hawajuani mkuu? wa mtaani mbona wanajuana kabisa. Ambao hawajuani labda wa mitandaoni.

Kwa mitandaoni kugombana na mtu ambaye haumjui zaidi ya kumwona mtandaoni ndio mbaya zaidi.
Daaah yani nitoke mishipa ya shingo kabisa kucharuana na mtu nisiyemjua, aisee bora nikakae zangu barabani nikaangalie madem wazuri wanavyokatiza mitaa na tight jeans zao zinawashika kuanzia juu mpaka chini au niwaone wale wanaovaa mini-skirts nione michirizi ya utamu nyuma ya magoti
 
Inawaumaga hiyo 🀣🀣🀣
Kuna siku waliniundia tume wakamleta mtu anitukane nimjibu wanireport! Yani humu kuna majinga mengi.
Na yule uliokuwa una amka da siku ile ndio michezo yake ni admin wa group Lao la mafichoni 🀣
Kheee, ni hapa hapa Jamhuri ya Jamii Forums au.!
 
Zitakuwa pm jukwaani ndo pa kutolea machungu 🀣🀣🀣
Wasubiri subiri maana hii wiki tuko bize ka weekend kamenoga haka ukifanya gigy, mara gekul, mara mdogo wake, kule manara pale amber lulu basi tafrani,
 
Wasubiri subiri maana hii wiki tuko bize ka weekend kamenoga haka ukifanya gigy, mara gekul, mara mdogo wake, kule manara pale amber lulu basi tafrani,
Nchi haipoi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanaume anajua kutongoza tu [emoji1787]

Ukikuta Kuna ugomvi wa mkewe yeye atamshika tu na kumkumbatia na kwenda naye nyumbani na kumtuliza tuli , anamuacha Kwa amani

Harafu anarudi Kwa yule walokuwa wakisutana watu wakiwa Sasa hawapo anamtongoza naye akizubaa mechi inachezwa huko ndiyo anaambiwa suta Sasa vile moyo upendavyo wakati kajamaa kanafukuta ndani ya kum...a

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hili ni gubu la kutofikishwa kileleni[emoji23][emoji23]
 
Bwege wa wapi huyo mwanaume!???Duuh nooooma.
 
🀣🀣🀣🀣 mbona mwenzio Saco hachagui
Lazima upime kwanza bana, Sasa wamevaa videra wanasutana na ww utaingia Kati kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila nikiona unaporomoshewa matusi hata kama ni mwanamke sitavumilia nitatake action sio kumpiga bali kumuwajibisha kwa mkono wa sheria(defamation)

Kama ni mtandaoni kama humu na fake id basi nitapambana nae
 
πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° Nisaidie mwayego Kantry wa kwangu mimi peke yangu😜
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanaume ana habari ambazo hata we huna!!
Ila ukiwa na mwanaume mbea au anakusaidia kusutana Raha nyie,kabla hamjalala mnakulana halafu mnakula ubuyuuuuuuu Hadi mnasinzia🀣🀣🀣
 
Shem kama shem!tena ni kuwafunga bila file kabisa wanaochezea laaziz wako🀣🀣🀣@lamomy kama nakuona unavyoturingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…