Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.

Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.

Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?​
 
Si wote, wapo wanao enjoy maisha

Only happen kama wote wanajielewa wanafanya nn
 
Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.

Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.

Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?​
Kihasibu ni hasara tupu.

Hakupikii. Hakusafishii chumba wala kitanda, akirudi kachoka maana na yeye ni binadamu, watoto hakulelei, kwa ujumla nyumba inakuwa si yake.

Na bado hela anazopata huko ni zake binafsi.
Ewe Mwanaume Shituka.
 
Mimi Mama Sasha anasimamia masuala ya Sasha shule plus tuition lakini pia akipokea hela yake ya mchezo huko ananitoaga vilaki laki ananambia baba hyo utajua mwenyewe unafanyia nini, nashukuru Mungu huwa anafanya mwenyewe kwa ridhaa yake sijawahi kumuomba
 
Unawashaurije vijana wanaotaka kuingia kwenye ndoa na wapenzi wa namna hiyo?
 
Mimi Mama Sasha anasimamia masuala ya Sasha shule plus tuition lakini pia akipokea hela yake ya mchezo huko ananitoaga vilaki laki ananambia baba hyo utajua mwenyewe unafanyia nini, nashukuru Mungu huwa anafanya mwenyewe kwa ridhaa yake sijawahi kumuomba
Chakula cha usiku vipi?
 
Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.

Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.

Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?​
Inategemeana na ntu na ntu, mimi nanufaika, kwanza mbususu napewa vizuri, pili akipata mshahara, unakuta ameleta kisuruali au kiatu
 
Utakuwa kati ya wachache walio bahatika. Vipi kuhusu safari zake za kikazi, hazikuathiri?
 
Assume wakati hamjaoana, alikuwa analipa bills, rent, chakula na nk kwa pesa yake hiyo ya mshahara. Sasa nini kinamzuia kuendelea kufanya the same pale anaingia kwenye ndoa?
Inawezekana labda ana hudumia dogo dogo!
 
Back
Top Bottom