Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Bado sielewi.... kwanini ungurume nyumbani.Wapo wachache wanaonufaika nao, ingawa wakati mwingine inabidi baba awe mpole/ ule muungurumo wa simba dume ndani ya nyumba usiwepo.
Kwamba kama mke kakosea hasahihishwi kwasababu mshahara wake unatumika nyumbani. Hii mentality mbaya!
Still sielewi kwanini mtu anayepokea income kila mwezi pesa yake isitumike kwa mahataji ya nyumbani.