Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

You mean sex? Hata tukipishana hajawahi kunizuilia uchi wake, sijui huko mbele lakini mpaka sasa kwakweli mimi ndo mwenye vipengele
Jitahidi akupatie watoto angalau kuanzia wanne, yajayo yanasikitisha.
 
Inategemeana na ntu na ntu, mimi nanufaika, kwanza mbususu napewa vizuri, pili akipata mshahara, unakuta ameleta kisuruali au kiatu
weni felia kweli kwa hiyo kwenye mshahara unafaidi mbususu na suruali tu,hujui hapo anakuwa anakupoza kijanja usianze kufatilia mshahara wake,kukupa mbususu niwajibu wake maana hujaoa aje akulie kwako bali ni kupata mbususu kwa wakati na kupata watoto
 
Hata hivyo sifanyi kazi ya kufuatilia mshahara wake, ila utakuta mzee wangu ananipigia simu ananishukuru kwa kupata hela ya sikukuu na mimi sijatuma
 
ndomana nikasema anakupoza tu,kwenye akanti yake unajua kuna kiasi gani? ushawahi kununua uwanja kwa hela ya mkeo? kuoa mfanyakazi ni utapeli mtupu bora uoe mpambaji tu..jiandae kisaikolojia akishapata mafao ya kustafu atakujali? au ndo ndoa itaishia kuvunjika?
 
Kwani nimeoa ili anisaidie kununua uwanja? hivi haufikirii kwamba hata wazazi wake walitumia ada kumsomesha? kwa hiyo kwa sababu umemuoa unataka wazazi wake wasinufaike hata kidogo kwa mwanao?

Vipi asingekuwa na kazi ungetumia hela gani kununua kiwanja? kwangu mimi naona hata hapo ana busara ambayo wewe unasema kupoza, saluni anajipeleka mwenyewe labda niamue mimi, nguo anajinunulia, lakini pia ananunulia watoto wake, chakula ndani ananunua gesi ikiisha atanunua labda awe hana hela atasema. sasa kama hayo anafanya wewe unataka hela ya mkeo ufanyie maendeleo? unataka hela ya mkeo ilipie watoto ada?? change your mindset
 
Usiishi kwa maneno ya mitaani kiongozi....
Nimelelewa na mama aliyefanya kazi.... Pesa yake ilitumika nyumbani kwa matumizi kama karo, chakula, furniture nk... na leo kwangu hakuna kitu kama pesa yangu au hiki ni changu.
 
mi kama huyo natimua maana sasaiv ni 50/50.nalipia pango wewe leta unga na mboga fullstop.hataki ndoa inavunjwa...afu kwenye taraka anataka 50/50.sifanyi ujinga huo bora nioe mkulima tu...afu hela anayopata inaishia kwenye vijora na kutunza dah!!.hela ya mwanamke ni yako kwasababu ninyi ni mwili mmoja.
 
Hiyo 50/50 unayoizungumza, alikusaidia kumlipia mahari kwao?

Hiyo 50/50 inaondoa mamlaka ya mwanaume ndani ya ndoa, kwahiyo chaguo ni lake, sasa huwezi kumpangia chochote kwakuwa naye anachangia
 
mi kama huyo natimua maana sasaiv ni 50/50.nalipia pango wewe leta unga na mboga fullstop.hataki ndoa inavunjwa...afu kwenye taraka anataka 50/50.sifanyi ujinga huo bora nioe mkulima tu...afu hela anayopata inaishia kwenye vijora na kutunza dah!!.hela ya mwanamke ni yako kwasababu ninyi ni mwili mmoja.
Mwili mmoja umemsomesha wewe?
 
Mimi Mama Sasha anasimamia masuala ya Sasha shule plus tuition lakini pia akipokea hela yake ya mchezo huko ananitoaga vilaki laki ananambia baba hyo utajua mwenyewe unafanyia nini, nashukuru Mungu huwa anafanya mwenyewe kwa ridhaa yake sijawahi kumuomba
Hii inaitwa kuokota Dodo,wapo wachache sana wanawake wa hivyo
 
Kwani nimeoa ili anisaidie kununua uwanja? hivi haufikirii kwamba hata wazazi wake walitumia ada kumsomesha? kwa hiyo kwa sababu umemuoa unataka wazazi wake wasinufaike hata kidogo kwa mwanao?

Vipi asingekuwa na kazi ungetumia hela gani kununua kiwanja? kwangu mimi naona hata hapo ana busara ambayo wewe unasema kupoza, saluni anajipeleka mwenyewe labda niamue mimi, nguo anajinunulia, lakini pia ananunulia watoto wake, chakula ndani ananunua gesi ikiisha atanunua labda awe hana hela atasema. sasa kama hayo anafanya wewe unataka hela ya mkeo ufanyie maendeleo? unataka hela ya mkeo ilipie watoto ada?? change your mindset

Sijaelewa hata mimi point yake ni ipi.
Lkn to my point you have found a Wife Broo.
 
kwani mpaka umlishe umtunze Amekuzaa na kukusomesha yeye? kama ni mbinafsi sikai nae bora akawatunze wazazi wake akiwa kwao,kama ni kusaidia wazazi wake ni swala la kunishirikishe tufanye kulingana na kipato alichopata
Bora usioe mkuu
 
mi kama huyo natimua maana sasaiv ni 50/50.nalipia pango wewe leta unga na mboga fullstop.hataki ndoa inavunjwa...afu kwenye taraka anataka 50/50.sifanyi ujinga huo bora nioe mkulima tu...afu hela anayopata inaishia kwenye vijora na kutunza dah!!.hela ya mwanamke ni yako kwasababu ninyi ni mwili mmoja.

Mkuu You will be disappointed always.
 
Usiishi kwa maneno ya mitaani kiongozi....
Nimelelewa na mama aliyefanya kazi.... Pesa yake ilitumika nyumbani kwa matumizi kama karo, chakula, furniture nk... na leo kwangu hakuna kitu kama pesa yangu au hiki ni changu.
Wapo wachache wanaonufaika nao, ingawa wakati mwingine inabidi baba awe mpole/ ule muungurumo wa simba dume ndani ya nyumba usiwepo.
 
Back
Top Bottom