Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Si wote, wapo wanao enjoy maishaWapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.
Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.
Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?
Au ndio ile kwa nje tunaona wako sawa, ila ndani panawaka moto?Si wote, wapo wanao enjoy maisha
Only happen kama wote wanajielewa wanafanya nn
Kwa hiyo wenye kazi wasiolewe?Hatunufaiki, kifupi usiweke manufaa wala kufikiri kunufaika. Kamwe usimuoe kwa kigezo cha kazi yake, kigezo hicho tu kinatosha kuifanya ndoa iwe batili
Kihasibu ni hasara tupu.Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.
Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.
Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?
Kuna Maboya wakati tunasoma badala waoe kwa sababu wanapendana wao walikuwa wanasema eti wakioa anayefanya kazi watasaidiana maisha. Aloo!Hatunufaiki, kifupi usiweke manufaa wala kufikiri kunufaika. Kamwe usimuoe kwa kigezo cha kazi yake, kigezo hicho tu kinatosha kuifanya ndoa iwe batili
Unawashaurije vijana wanaotaka kuingia kwenye ndoa na wapenzi wa namna hiyo?Kihasibu ni hasara tupu.
Hakupikii. Hakusafishii chumba wala kitanda, akirudi kachoka maana na yeye ni binadamu, watoto hakulelei, kwa ujumla nyumba inakuwa si yake.
Na bado hela anazopata huko ni zake binafsi.
Ewe Mwanaume Shituka.
Chakula cha usiku vipi?Mimi Mama Sasha anasimamia masuala ya Sasha shule plus tuition lakini pia akipokea hela yake ya mchezo huko ananitoaga vilaki laki ananambia baba hyo utajua mwenyewe unafanyia nini, nashukuru Mungu huwa anafanya mwenyewe kwa ridhaa yake sijawahi kumuomba
Both can be true, dependsAu ndio ile kwa nje tunaona wako sawa, ila ndani panawaka moto?
Inasemekana kuna mazuri na mabaya piaMje mseme yale mazuri yetu jamani.
Tunanufaika na stress 😩, yaani huna pesa na mwenzio ana pesa na hawezi kukupa.Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?
Inategemeana na ntu na ntu, mimi nanufaika, kwanza mbususu napewa vizuri, pili akipata mshahara, unakuta ameleta kisuruali au kiatuWapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.
Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.
Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?
You mean sex? Hata tukipishana hajawahi kunizuilia uchi wake, sijui huko mbele lakini mpaka sasa kwakweli mimi ndo mwenye vipengeleChakula cha usiku vipi?
Mbadala wake ni nini?Tunanufaika na stress 😩, yaani huna pesa na mwenzio ana pesa na hawezi kukupa.
Utakuwa kati ya wachache walio bahatika. Vipi kuhusu safari zake za kikazi, hazikuathiri?Inategemeana na ntu na ntu, mimi nanufaika, kwanza mbususu napewa vizuri, pili akipata mshahara, unakuta ameleta kisuruali au kiatu
Inawezekana labda ana hudumia dogo dogo!Assume wakati hamjaoana, alikuwa analipa bills, rent, chakula na nk kwa pesa yake hiyo ya mshahara. Sasa nini kinamzuia kuendelea kufanya the same pale anaingia kwenye ndoa?