Bado sielewi.... kwanini ungurume nyumbani.Wapo wachache wanaonufaika nao, ingawa wakati mwingine inabidi baba awe mpole/ ule muungurumo wa simba dume ndani ya nyumba usiwepo.
Que sera seraJitahidi akupatie watoto angalau kuanzia wanne, yajayo yanasikitisha.
kuoa naoa ila sio kuoa mnyonyaji na mbinafsi .anachopata nachopata vyote vinawekwa kati...ndo tunaanza kuzipigia mahesabu .kama ni kusaidia wazazi,karo,pango n.k
Yaani hakuna mwanaume ambaye anataka kunufaika na mwanamkeWapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote.
Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia kuwepo na migogoro mingi ndani ya mahusiano.
Sasa wakuu naleta swali, Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?
Wapo wazee mpaka sasa wanaishi kibachela, mke yuko mbali naye kikazi. Kinachotafutwa hakionekani.Mimi binafsi mwanamke anayefanya kazi siwezani naye!!
Naona kama natoka kabisa ya nje ya lengo na maana ya kuoa!
Je wanaume wote walio oa wanapata hiyo faraja kwa wake zao?Mwanamke mchango wake kwenye ndoa ni kukufariji. Na uwepo wake tayari hufanya hivyo, na wengi hubeba ujauzito, zaa kwa uchungu, lea kwa kazi, ili wewe na yeye mpate faraja.
Bado wataka achangie pesa?
Asipokupa huo utulivu unafanyaje?Yaani hakuna mwanaume ambaye anataka kunufaika na mwanamke
Mwanamke ni mtu anayepaswa kunipa utulivu wa nafsi na mwili baaas
Kwa hiyo hawatakiwi kufanya kazi si ndiyo?Kasomeni kitabu Cha Joshua bin siraa nyie mnaotaka mserereko wakulelewa na wanawake , pia mkumbuke mwanamke alupoleta chakula bustanini mambo yote yaliharibika
Lazima aachike tuAsipokupa huo utulivu unafanyaje?