Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Ni hivi madam kutokana na vipimo alivyofanya kulikuwa kama kuna siku nne au tano mbele kwahiyo hatukuwa na hofu yoyote ile,ila dogo tu ujuaji mwingi akaanza kutaka kuja duniani mapema,,hata hivyo baada ya kumpeleka hospitali alikuja kujifungua kesho yake alfajirhujifungua kwa opereshen alafu mnasubiria mpaka uchungu umkamate hebu muwe mnajiongeza
Mimi wakwangu aliniambia tutembee kwa miguuu ni Nurse mtoto alizaliwa 1989,kumbe mwanamke anapotembea anafanya mazoezi ya kukisukuma kiumbeWanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nikamfata nkamsalimu nkamwambia nmekuletea chakula.
Cha ajabu akanijibu kwa hasira "CHAKULA NDIO NINI?"
Niweke siti namie nakuja tusome wote koments!
Kwanini mkuu tupe uzoefu.Ukiona papuchi ya mama anaejifungua unaweza usitamani kugegedana maisha yako yote.
Mhhhh! Yaani, kila moja wao anavaa glove anazamisha mkono. Moja baada ya mwingine. It was the most eye opening experience kwa kweli. 15 hours later tukafanyikiwq kupata mtoto wa kike. Maisha ni safari ndefu sana. Pia, kushi kwingi huona mengi.
Hili ni jambo la kujifunza sasa ukikataa watajifunzia wapi? Maana hata huyo Dr alikuwa mwanafunzi akajifunzia kwa wagonjwa akajua je na wao wangekataa ingekuwaje kwa mkeo?Hapa ningekataa aisee
Ilipelekea mimi kusubiri njeFuraha iliyochanganyika na wasiwasi.
Ulikuwa mtihani mkubwa sana kuona nyeti za mke wako ndio zinakuwa darasa kwa wanafunzi.Hapa ningekataa aisee
Unakimbilia wapi mkuu. Mimba yenyewe ilikuwa risky pregnancy, tumekaa labor karibia siku mbili, papuchi haujagusa karibia miezi mitano, unafanya mchezo kabisa.Dah kumbe!!
Yaani mi wakwangu wiki kabla ya siku ya matazamio namwambia tuhamie hospital hizi kurupushani nahisi sitaziweza.
Wangejifunzia wap?Hapa ningekataa aisee
Ulikuwa na upwiru wa 5G.Unakimbilia wapi mkuu. Mimba yenyewe ilikuwa risky pregnancy, tumekaa labor karibia siku mbili, papuchi haujagusa karibia miezi mitano, unafanya mchezo kabisa.
Si nimekuambia nakimbilia hospitalUnakimbilia wapi mkuu. Mimba yenyewe ilikuwa risky pregnancy, tumekaa labor karibia siku mbili, papuchi haujagusa karibia miezi mitano, unafanya mchezo kabisa.
Umesema ni mtoto ws kwanza na umesema hua anajifungua kwa operation,sasa ulijuaje kua ni operation na ndio kwanz mtoto wa kwanza?Picha limeanza saa tisa usiku,,baby mama uchungu umempata na kumbuka baby mama wangu hujifungua kwa operesheni
So mwelekeo ni muhimbili na ndio mtoto wangu wa kwanza,nipo makazi africana mbezi,,mungu mkubwa nje kuna nissan march kadogo kadogo hivi ndio nikakapiga start hao muhimbili,,yaan baby mama anaugulia maumivu mwamba namtaja Allah kwa sana na kumtukuza atufikishe salama
Dah ilikuwa experience ya kipekee sana