Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiingiza nishati nyingi mwilini kuliko unavyotumia utanenepaMwanaume ata push ups 10 aendi mkuu kisa chips yai na kutokufanya mazoezi.
Washauri waongeze kipimo kwenye kula, nguvu hazitotiliwa mashaka na wachakata chips/viazi tupate faida pia.Sio hivyo mkuu
Ofcoz,Sijui hizo Chipsi zina nini cha ziada hadi wengi kuzipenda ila binafsi nimekuwa sio Mpenzi wa hiko chakula
But suala la mazoezi ni muhimu Kwa Kila mtu. Uwe unakula Chipsi yai ama Ugali Samaki
Kuna baadhi yetu Kwa nature ya majukumu ya utafutaji wetu wa kipato, hutumia muda mwingi kukaa ofisini huku unapigwa kiyoyozi.
Suala la mazoezi tulipe kipaumbele, vinginevyo unaweza kujikuta Kijana mdogo wa miaka 32 lakini unakuwa na kilogramu 130 🙌Suala la mazoezi tulipe kipaumbele, vinginevyo unaweza kujikuta Kijana mdogo wa miaka 32 lakini unakuwa na kilogramu 130 🙌
Ukiingiza nishati nyingi mwilini kuliko unavyotumia utanenepa.Ukiingiza nishati nyingi mwilini kuliko unavyotumia utanenepa
Vyakula vyenye nishati nyingi vipo kwa idadi kubwa sio chipsi tu
Chipsi mmezifanya kama taboo flani ya kudhalilisha wanaume
Wakati huo ugali mnaowaambia wale kwa wingi nao unanenepesha
🙌🙌Na sapoti hoja ila, fanya mazoezi kwa afya yako sio sababu ya kisimamia ukucha hapo Huwa hii kitu sikubaliani nayo. Wanawake ukiwasikiliza maneno I yao utapotea yeye anayekuambia Habari ya Simamia ukucha nusu saa analia anaumia au kachoka kwa hiyo TUFANYE MAZOEZI KWA AFYA ZETU SIO SABABU YA KUMVUTIA YEYOTE YULE, Baada ya hayo niseme naunga hoja🙏🏼,
Ndio ilivyo,ausiyo?
Hyo kegel kwenye mambo yetu nasikia unakuwa shabab haswaTrue mkali siku hizi nimeanza kupiga mazoez ya kawaida tu kila siku lazima nipige elbow plank dakika 5 na mazoez ya kegel kwa saa 1
Ila Mabadiliko ni makubwa sana nimekua hatari maeneo flani flani
Shida inaanza hapaNaunga mkono uzi, ila Mkuu kiepe yai upate na mirinda bariiidi kwa mara moja moja sio dhambi.
Kuna kiepe fulani hivi hakikauki kipo teketeke yai halijaungua, aisee acha kabisa Mkuu, na ka kuku choma nusu kidari mixer ukwaju. Piga mambo Chifu.
Uzuri kiepe yai kinakubaliana hadi na bia.
Au upate ndizi mzuzu zikaangwe fresh na hako ka nusu kuku, usisahau ukwaju mixer mayonize iwe American Gadern. Aisee acha utani chifu.
Kila siku tupigilie misumari tu au makande!!?, hapana bhana.
Oyaa Wakuu kiepe tupige na matizi kwa kubalance, au sioo!?