Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

Naunga mkono uzi, ila Mkuu kiepe yai upate na mirinda bariiidi kwa mara moja moja sio dhambi.

Kuna kiepe fulani hivi hakikauki kipo teketeke yai halijaungua, aisee acha kabisa Mkuu, na ka kuku choma nusu kidari mixer ukwaju. Piga mambo Chifu.

Uzuri kiepe yai kinakubaliana hadi na bia.

Au upate ndizi mzuzu zikaangwe fresh na hako ka nusu kuku, usisahau ukwaju mixer mayonize iwe American Gadern. Aisee acha utani chifu.

Kila siku tupigilie misumari tu au makande!!?, hapana bhana.

Oyaa Wakuu kiepe tupige na matizi kwa kubalance, au sioo!?
Mkuu umegusa penyewe...yaani kwenye msosi hapo umesahau kuongeza kitimoto rost na Castle lite baridi
Acha tu nibaki na kitambi changu mimi siwezi kwenda gym kunyanyua mavyuma mazito yaani nijitese utadhani niko kwenye mafunzo ya kijeshi?
Kwanza sisi vibonge wenye vitambi tunaaminika sana mitaani tunaonekana hatuna njaa
Mimi huwa nawala sana mademu wa chuo hapa Dom wengi wakiona body langu wanaamini nna maokoto ya kutosha halafu ni mtu wa serikali kumbe muuza majeneza tu!
Kuleni misosi vijana mnenepe acheni kujitesa mazoezi waachieni wacheza mpira na walinzi wa club
Maisha yenyewe tunayoishi ni magumu kuzidi hata hayo mazoezi yenyewe bado ukajitese kukimbia 5km na kubeba vyuma halafu unakuta unashindia chapati mbili na supu ya pum. bu au mapupu! Mtakondeana mpaka mkufwe!!
 
True mkali siku hizi nimeanza kupiga mazoez ya kawaida tu kila siku lazima nipige elbow plank dakika 5 na mazoez ya kegel kwa saa 1
Ila Mabadiliko ni makubwa sana nimekua hatari maeneo flani flani
Elbow plank dakika tano ? Hapa chief umetuokota hilo zoezi ukimaliza dk 2 we ni kidume kweli kweli

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mazoezi ni muhimu sana mimi nafanya mazoezi na vijana tena ya mpira kwa siku tatu mpaka nne kwa wiki moja nikiamua kutembea natembea kweli ila mambo ya kidali cha kuku na Chips kwa mbali kwa afya sio mbaya mazee ukipiga sana mazoezi bila mafuta mafuta kidogo utakauka balaa...
 
Mkuu umegusa penyewe...yaani kwenye msosi hapo umesahau kuongeza kitimoto rost na Castle lite baridi
Acha tu nibaki na kitambi changu mimi siwezi kwenda gym kunyanyua mavyuma mazito yaani nijitese utadhani niko kwenye mafunzo ya kijeshi?
Kwanza sisi vibonge wenye vitambi tunaaminika sana mitaani tunaonekana hatuna njaa
Mimi huwa nawala sana mademu wa chuo hapa Dom wengi wakiona body langu wanaamini nna maokoto ya kutosha halafu ni mtu wa serikali kumbe muuza majeneza tu!
Kuleni misosi vijana mnenepe acheni kujitesa mazoezi waachieni wacheza mpira na walinzi wa club
Maisha yenyewe tunayoishi ni magumu kuzidi hata hayo mazoezi yenyewe bado ukajitese kukimbia 5km na kubeba vyuma halafu unakuta unashindia chapati mbili na supu ya pum. bu au mapupu! Mtakondeana mpaka mkufwe!!
😂😂 mkuu acha masihara piga tiz
 
Mazoezi ni muhimu sana mimi nafanya mazoezi na vijana tena ya mpira kwa siku tatu mpaka nne kwa wiki moja nikiamua kutembea natembea kweli ila mambo ya kidali cha kuku na Chips kwa mbali kwa afya sio mbaya mazee ukipiga sana mazoezi bila mafuta mafuta kidogo utakauka balaa...
Safi sana
 
Back
Top Bottom