Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

Mwanaume ata push ups 10 aendi mkuu kisa chips yai na kutokufanya mazoezi.
Ukiingiza nishati nyingi mwilini kuliko unavyotumia utanenepa

Vyakula vyenye nishati nyingi vipo kwa idadi kubwa sio chipsi tu

Chipsi mmezifanya kama taboo flani ya kudhalilisha wanaume

Wakati huo ugali mnaowaambia wale kwa wingi nao unanenepesha
 
Sijui hizo Chipsi zina nini cha ziada hadi wengi kuzipenda ila binafsi nimekuwa sio Mpenzi wa hiko chakula

But suala la mazoezi ni muhimu Kwa Kila mtu. Uwe unakula Chipsi yai ama Ugali Samaki

Kuna baadhi yetu Kwa nature ya majukumu ya utafutaji wetu wa kipato, hutumia muda mwingi kukaa ofisini huku unapigwa kiyoyozi.

Suala la mazoezi tulipe kipaumbele, vinginevyo unaweza kujikuta Kijana mdogo wa miaka 32 lakini unakuwa na kilogramu 130 ๐Ÿ™Œ
 
Ofcoz,
Suala la mazoezi tulipe kipaumbele, vinginevyo unaweza kujikuta Kijana mdogo wa miaka 32 lakini unakuwa na kilogramu 130 ๐Ÿ™Œ

Nakazia.
 
Ukiingiza nishati nyingi mwilini kuliko unavyotumia utanenepa

Vyakula vyenye nishati nyingi vipo kwa idadi kubwa sio chipsi tu

Chipsi mmezifanya kama taboo flani ya kudhalilisha wanaume

Wakati huo ugali mnaowaambia wale kwa wingi nao unanenepesha
Ukiingiza nishati nyingi mwilini kuliko unavyotumia utanenepa.

That's true โ˜๏ธ through Cha msingi ni kufanya tizi
 
Na sapoti hoja ila, fanya mazoezi kwa afya yako sio sababu ya kisimamia ukucha hapo Huwa hii kitu sikubaliani nayo. Wanawake ukiwasikiliza maneno I yao utapotea yeye anayekuambia Habari ya Simamia ukucha nusu saa analia anaumia au kachoka kwa hiyo TUFANYE MAZOEZI KWA AFYA ZETU SIO SABABU YA KUMVUTIA YEYOTE YULE, Baada ya hayo niseme naunga hoja๐Ÿ™๐Ÿผ,
 
True mkali siku hizi nimeanza kupiga mazoez ya kawaida tu kila siku lazima nipige elbow plank dakika 5 na mazoez ya kegel kwa saa 1
Ila Mabadiliko ni makubwa sana nimekua hatari maeneo flani flani
safi sana,, mazoezi ni muhimu.
 
Sio tutafute hela tuachane na Malaya?

Basi watu tubatofautiana sana malengo.
 
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
True mkali siku hizi nimeanza kupiga mazoez ya kawaida tu kila siku lazima nipige elbow plank dakika 5 na mazoez ya kegel kwa saa 1
Ila Mabadiliko ni makubwa sana nimekua hatari maeneo flani flani
Hyo kegel kwenye mambo yetu nasikia unakuwa shabab haswa

Muongozo tafadhali ๐Ÿ˜€
 
Shida inaanza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ