Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ungemwambia njoo chumbani nikuonyeshe ziko nyingi zinazofananaNikiwa home huwa napenda kukaa kifua wazi. Kuna siku walikuja wageni sikumbuki walikaa siku ngapi ila nachokumbuka mgeni mmoja wa kike aliniuliza " unaipenda sana hiyo boxer eeenh?? "
ata hizo n Nzur ingawa zpo nyingine Aina nying tuBukta za mpira mkuu?
Asante kwa niaba Bil nitamfikishia salaam mwenye picha yakeHiyo Avatar,uko vyema mkuu
Eeenh hivi huwa mnapenda kudanganywa eenhhuo mgongo naujua vizuri sana, bado sura tu, n wewe huyo
Ata hizo n Nzur ingawa zpo nyingine Aina nying tuBukta za mpira mkuu?
Kila siku navaa mpyaWanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
..
Cc Zero IQ
Ebu mwambie huyooKuwa na boxer nyingi siyo tatizo je huwa unabadilisha mala ngapi kwa wiki?
Mm mwenyew nimesoma comments nying nashangaa kumbe kuna wanaume Bado wanavaa boxerMimi sivai boksa.
Hazitoshei mkuyati wangu mana nj mnene na mrefu wakuu.
NB:I'm not selling manifesto.View attachment 944883
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa home huwa napenda kukaa kifua wazi. Kuna siku walikuja wageni sikumbuki walikaa siku ngapi ila nachokumbuka mgeni mmoja wa kike aliniuliza " unaipenda sana hiyo boxer eeenh?? "
Mm mwenyew nimesoma comments nying nashangaa kumbe kuna wanaume Bado wanavaa boxerMimi sivai boksa.
Hazitoshei mkuyati wangu mana nj mnene na mrefu wakuu.
NB:I'm not selling manifesto.View attachment 944883
utadanganya wengine ila sio mm [emoji5] [emoji5], we geuka tuEeenh hivi huwa mnapenda kudanganywa eenh
So unavaa pensi au??? Au huvaii kabisaaMm mwenyew nimesoma comments nying nashangaa kumbe kuna wanaume Bado wanavaa boxer
Mimi ninabadili kila siku kwa mikoa ya pwani huwezi vaa siku 3 utatoa harufuAisee,mi binafsi nna boxer kama 40 hivi..lkn cha kushangaza najikuta boxer moja nimevaa mpka siku 3.. hahaha
AiseeInategemea uko mkoa gani.
Km uko mkoa wa joto km dar, tanga basi siku 2/3
Km uko mkoa wa baridi km mbeya,iringa wiki siku 7/14 kabsa
Kutoa harufu mpaka isikikee ni nature ya mtuu...! me napigiliaa hata week afu fresh tuuMimi ninabadili kila siku kwa mikoa ya pwani huwezi vaa siku 3 utatoa harufu
Ila kwa mikoa ya baridi hata wiki unavaa
Kwani kuna sehemu boxer imepigwa marufuku mkuu?