Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Nikiwa home huwa napenda kukaa kifua wazi. Kuna siku walikuja wageni sikumbuki walikaa siku ngapi ila nachokumbuka mgeni mmoja wa kike aliniuliza " unaipenda sana hiyo boxer eeenh?? "
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ungemwambia njoo chumbani nikuonyeshe ziko nyingi zinazofanana
 
Ninazo 9, ila zipo mbili ambazo napenda kuzivaa moja inae mjani wa ki Rastafarian Kush, na nyingine imeandikwa banana[emoji529] republic ani hizo nazipenda Sana nkienda bafuni lazima nizifue naanika2geto kesho Kutwa navaaa Kati ya hizo 9 kuna ambazo sijawahi zivaa kab is a[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
 
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
..

Cc Zero IQ
Kila siku navaa mpya
 
Kwanza tuulizane tunazo ngapi? Maana unaweza kukuta hata ya kubadilisha haipo, njemba ina kila kitu cha gharama ila boxer moja tu[emoji23][emoji23]
 
Mimi ninabadili kila siku kwa mikoa ya pwani huwezi vaa siku 3 utatoa harufu
Ila kwa mikoa ya baridi hata wiki unavaa
Kutoa harufu mpaka isikikee ni nature ya mtuu...! me napigiliaa hata week afu fresh tuu
 
Back
Top Bottom