Wanaume wenzangu, huwa mnapewa nini hadi mnahonga pesa ambazo zipo juu ya uwezo wenu?

NNi
Upumbavu huo, wengine tumepatwa sana ila hatujawahi kuhonga zaidi ya elfu 30 na uwezo wa kuhonga laki Tano tulikuwa nao, ni kuishi kwa akili na mahesabu, utamu wenyewe unaupata kwa dakika chache, ungekuwa unahonga pale unapopagawq na utamu hapo sawa, ila kuhonga hela nyingi kipindi kingine ukiwa na akili timamu, huo ni ufala.
 
Nataka asione kama mbuzi. Umesema usipohonga anakuona mbuzi tuu.
Usifanye vitu ili umridhishe mwanamke unakosea kijana unaweza ukafanya yote hayo na bado ukacheatiwa au kuachwa muhimu muhudumie kulingana na uwezo wako ( fanya ndani ya uwezo wako) me mbona si hongi sana kama mnavyofanya nyie but ni napendwa mno napewa ninapohitaji na wakati mwingine yeye ndio ananiomba, nikiwa sina ninamwambia sina na anaelewa, na wakati mwingine anisaidia. ukiishi kwa kutumia akili mwanamke hawezi kukusumbua wewe ndio utakuwa control wa maisha yake, tatizo lenu mnaishi kwa kuangalia mwanamke wako anataka nini sio wewe unataka nini kwake
 
Hata ukihonga wakati unapagawa na utamu napo huu ni udhaifu mno na nakwambia atautumia kama fimbo ya kukuchapia mwanaume hupaswi uwe hivyo kabisa.
 
Mimi, sio mtu wa kutoa sana, sijawahi kumpa mwanamke pesa kuzidi uwezo wangu, na sijawahi kujuta kufanya hivyo coz situmiagi hisia katika kufanya maamuzi

Mwanamke yoyote atakayetaka kuingilia uchumi wangu kwa kuleta invoice zisizo eleweka niko radhi naiachane naye muda huo huo.😡😎
 
 

Attachments

  • B8B94ADE-9CC6-493F-AE49-152D6D397B0E.jpeg
    47 KB · Views: 3
  • C153826B-00C5-4EAB-B379-4B7FED446395.jpeg
    355.3 KB · Views: 2
Kuhonga huja automatically Wanaume tutafute pesa hakuna mapenzi ya bule sikuizi labda uende kwa akina mwajuma ndala ndefu akina beyonce na Rihanna mtuachie vizito wa nchi hii, Note"" kuhonga dem asiye Madako ni matumizi mabaya ya akili na pesa
 
Kuhonga huja automatically Wanaume tutafute pesa hakuna mapenzi ya bule sikuizi labda uende kwa akina mwajuma ndala ndefu akina beyonce na Rihanna mtuachie vizito wa nchi hii, Note"" kuhonga dem asiye Madako ni matumizi mabaya ya akili na pesa
Watu hawapingi kutomuhudumia mpenzi wako hoja ipo kwenye je unafanya ndani ya uwezo wako au nje ya uwezo wako?
 
1. Uchawi
2. Ushamba
3. K tamu ya MOTO
4. Uzuri-(Shepu,rangi,tako,hipsi,flat tummy, chuchu saasita e.t.c)
 
Nimesikitika sana, hadi mtoto mkono umepinda, hiyo siyo busara kabisa, lakini uliza mumeo huyo rafiki Yako ana sifa zipi, usikute K yake ni tamu mno Kuliko yako, au ana shape Kuliko wewe, au ana adabu Kuliko wewe, kikubwa ni K yaweza kuwa tamu mno. Japo hakutakiwa kumtesa mtoto wake hivyo.
 
Hiyo ni tabia ya mtu tu, kuna wengine wanapenda kuchunwa.

Ni uvivu wa kufikiri pia, watu wengine hawana swag, hawana maneno, hawana game, hawana style. Wanaona pesa ndiyo kitu pekee cha kuwafanya wawe relevant.

Umenena vyema.
Kuhonga ni udhaifu.
Mwanaume lijali mwenye ku-deserve kupendwa hawezi kuhonga ili apendwe.
True love is has no condition
 
Hakuna kitu hayo maboya yanapewa. Bali ni Desperation, lack of options na low sexual market value. Na hao wanawake wanajua watu wa aina hiyo wakiwaona na wanafanya fursa na makusudi. Mwanamke haniombi pesa labda niamue mwenyewe na hata akiomba nasema sina na wala haondoki, halalamiki wala kunisumbua tena.

Sababu anajua akizingua tu, the moment I'm out of that fuking door I can get 2 more upgraded versions of herself. Simple psychology.

Njia pekee ya kutoendeshwa na mwanamke ni kumfanya ajue wewe ni bora zaidi yake. Na hiyo iwe kweli.
 
Kweli anashepu sana yan ukimuangalia na 8 haswa
 
Kweli anashepu sana yan ukimuangalia na 8 haswa
Usifanye mchezo na shepu/shepu namba 8 , watu wanahonga mpaka nyumba na viwanja vya urithi 🤣

Tena mdada mwenye shepu akiwa na flat tummy na mahipsi yaliyojaa na malaini ya kumwagika na K tamu ya moto, ufundi kitandani na akiwa anatoa marinda, hiyo combination sio mchezo 🤣🤣
 
Bado wanaendelea kulana au wameachana
 
Oyaa huyu demu wa type yako ni kombinenga ya mzabzab na Mzee wa kupambania 😂 😂 mzabzab Mzee wa kupambania Akilindogosana
 
Demu ni msenge au wewe ndio Msenge? Huyo Demu anakuzidi akili. We zako zoko chini za kwake ziko kichwani. Na hapo ujue sio wewe tu uliyetuma kuna ma Simp mengi tu yanatuma.

Mwisho wa siku huyo demu anabaki kudharau wanaume jinsi walivyo na akili mbovu. Kumbe kakutana na masimp.

Hata akiolewa anakuwa anajua wanaume akili zao ziko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…