Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

Wewe haijakukuta lakini kwa maelezo yako unaonekana una hiyo fear ndo maana unaogopa kutongoza.Mwanaume heshima yake haishuki kwa kupigwa cha mbavu unaweza kukataliwa na dem wa kawaida na ukaja kukubaliwa na dem mkali zaidi,hauwezi kudhalilika sababu ya dem kuwahadithia wenzake.Mwanaume lazima utongoze ndo uanaume wenyewe.All in all nakushauri usidate kazini,madem wa oficn wachukulie kama dada zako au washkaji utaishi kwa raha sana.
 
Usitongoze serious mwanamke unaefanya nae kazi ofisi moja, kama unamtaka wewe tengeneza mazingira polepole ya kumla kimasihara kama anakukubali atajaa tu ila kamwe tena kamwe usithubutu eti kuandaa kabisa kikao cha kumtongoza utaumbuka
 
Sisi wanawake kwenye kikao chetu tulichokifanya tarehe 25 December...
Chini ya mwenyekiti wetu (jina kwenye mabano)

1-MARUFUKU KUANZISHA MAHUSIANO NA KAZINI (JOB MATE) MFANYAKAZI MWENZYO.

2-MARUFUKU KUANZISHA MAHUSIANO NA MPANGAJI MWENZYO AU JIRANI YAKO.

3-MARUFUKU KUMTONGOZA MWANAUME,

4-MARUFUKU KUMKARIBISHA MWANAUME MAHALI UNAPOISHI,

-MARUFUKU KUMFULIA NGUO BOYFRIEND

-MARUFUKU MARUFUKU KUMPA HELA MWANAUME KWANZA SISI HATUNA HELA

-MARUFUKU KUBEBA MIMBA KABLA YA NDOA,WEWE HAUNA KIZAZI CHA MAJARIBIO


MWISHO,

MWIKO KUDATE NA MWANAUME AMBAYE HAKUHUDUMIII.
 

Kabisa mkuu
Ukiomba unatakiwa kujiwekea majibu mawili na uwe tayari kudeal nayo
 
Listen bro, kama unampenda na unajua naviashiria vya kukupenda, you gotta try harder... ila kama hakukuwa na physical attraction yoyote usingetakiwa kumake any move
 
Kikanuni hautakiwi kutongoza au kuingia katika mahusiano na mtu ambaye mnafanya naye kazi sehem moja
 
Kwanza kiuhalisia wanawake wanapenda kutongozwa, mkiwa ofisi moja na usipokuwa unawatania tania, kuna namna wanajisikia vibaya. Sasa kuanzisha mapenzi kazini ni kitu si salama sana. Lakini kama unataka kufanya hivyo nakushauri usionyeshe u-serious kwenye hilo jambo wewe weka mazoea naye kwa kiasi kikubwa itafika mahali utaona mambo ni marahisi sana hautotumia nguvu kabisa.
Lakini kikubwa cha kuzingatia wanawake ni watu wanaotamani kuona wanachokozwa chokozwa, sasa na wewe pitia humo humo mkuu.
 
Hapa kwenyewe nipo safarini naelekea mikoa ya kaskazini, seat ya mbele yangu walikuwa wamekaa warembo wawili nilipofuatilia nikaona ni ndugu maana walikuwa wanapiga story sanaa. Yule aliyekaa upande wangu amenivutia sanaa, nimechukua smartphone yangu nikafungua sehemu ya Notes, nikaandika maneno machache sanaa.
" Mrembo mambo?
Jirani umependeza sanaa na sauti yako ni nzuri ajabu nimekusikia ulivyokuwa ukiigilizia nyimbo zilizokuwa zikipigwa tangu mwanzo wa safari kwa kweli umebarikiwa sanaa si kwa sauti tuu bali hata sura na umbo, tafadhali nisaidie namba yako kama hautajali.
Ahsante jirani".
Kisha nikampa simu kwa ubavuni mimi na yeye tulikuwa tumekaa upande wa dirishani.
Akaangalia kwanza maneno niliyokuwa nimeandika kisha aka chukua simu akaandika namba yake, tunaendelea kuchati ameniambia anaelekea Loliondo kuwasalimu wazazi......

Yupo charming sanaa.
Nawatakia kazi njema wanajamvi.
 
Easier said than done, wewe ukitongoza halafu ukakataliwa utafurahi Mshuza2
Unapohitaji kitu unatakiwa ujue kuna kupata na kukosa. Ukielewa hili hakutakua na mambo ya kutia huruma ikitokea umekosa ulichokihitaji.

Kingine cha muhimu, usitongoze mtu unafanya nae kazi ofisi moja itakusaidia kukwepa fedheha zisizo na ulazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…