Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

Now huwa hatutongozi....
Mf mashangazi hawa unaenda indirectly way kama kijana mwenye nia ya kumsaidia kazi mbili tatu...

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Baada ya hapo ni shwaaah
 
Kutongoza kuna matokeo mawili kukubaliwa na kukataliwa pia kwaiyo unapomtongoza mwanamke nenda na hayo mambo mawili hutokuja kujutia mitongozo
 
Habarini,

Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia zake unaona huyu akinikubalia tukiendana, anafaa kuoa, unamtongoza halafu anakukataa.

Ukute na hapo ofisini ana marafiki zake wengine wa kike, obviously ukimtongoza akikukataa, kwenye story zao atawaambia rafiki zake wa kike kuwa flani alimtongoza akakataa, hivyo CV/status yako kwa ujumla kwenye hiyo kampuni/mbele ya co-workers inashuka.

Mbaya zaidi unakuwa unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness

How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu

Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.

Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
Unaa achana nae, take her kama mtu mwingine then maisha yanaendelea
 
Mimi nilimtongoza alinifanyia mbaya akanikutanisha na hawara yake ambaye ndio alikuwa mkuu wa kitengo da nilichambwa mpaka basi.

Ila Mungusaidia mkuu huyo akatumbuliwa eti sasa anajivuta tena kwangu. Nimesha mchunia huyu mbwa sura hana shepu hana ni tamaa tu.
 
Habarini,

Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia zake unaona huyu akinikubalia tukiendana, anafaa kuoa, unamtongoza halafu anakukataa.

Ukute na hapo ofisini ana marafiki zake wengine wa kike, obviously ukimtongoza akikukataa, kwenye story zao atawaambia rafiki zake wa kike kuwa flani alimtongoza akakataa, hivyo CV/status yako kwa ujumla kwenye hiyo kampuni/mbele ya co-workers inashuka.

Mbaya zaidi unakuwa unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness

How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu

Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.

Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
Usichanganye mapenzi na kazi.
 
Hapa kwenyewe nipo safarini naelekea mikoa ya kaskazini, seat ya mbele yangu walikuwa wamekaa warembo wawili nilipofuatilia nikaona ni ndugu maana walikuwa wanapiga story sanaa. Yule aliyekaa upande wangu amenivutia sanaa, nimechukua smartphone yangu nikafungua sehemu ya Notes, nikaandika maneno machache sanaa.
" Mrembo mambo?
Jirani umependeza sanaa na sauti yako ni nzuri ajabu nimekusikia ulivyokuwa ukiigilizia nyimbo zilizokuwa zikipigwa tangu mwanzo wa safari kwa kweli umebarikiwa sanaa si kwa sauti tuu bali hata sura na umbo, tafadhali nisaidie namba yako kama hautajali.
Ahsante jirani".
Kisha nikampa simu kwa ubavuni mimi na yeye tulikuwa tumekaa upande wa dirishani.
Akaangalia kwanza maneno niliyokuwa nimeandika kisha aka chukua simu akaandika namba yake, tunaendelea kuchati ameniambia anaelekea Loliondo kuwasalimu wazazi......

Yupo charming sanaa.
Nawatakia kazi njema wanajamvi.
BAHARIA๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom