Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Naomba unifungulie pm mremboUnapohitaji kitu unatakiwa ujue kuna kupata na kukosa. Ukielewa hili hakutakua na mambo ya kutia huruma ikitokea umekosa ulichokihitaji.
Funguo imepotea.Naomba unifungulie pm mrembo
UpoFunguo imepotea.
Unaa achana nae, take her kama mtu mwingine then maisha yanaendeleaHabarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia zake unaona huyu akinikubalia tukiendana, anafaa kuoa, unamtongoza halafu anakukataa.
Ukute na hapo ofisini ana marafiki zake wengine wa kike, obviously ukimtongoza akikukataa, kwenye story zao atawaambia rafiki zake wa kike kuwa flani alimtongoza akakataa, hivyo CV/status yako kwa ujumla kwenye hiyo kampuni/mbele ya co-workers inashuka.
Mbaya zaidi unakuwa unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness
How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu
Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.
Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
EndeleaNani kasema?
Acha watu wale vituuz
Vijana wa buku mbili hawawezi kukuelewa.Kuna mambo ukiyachukulia in a positive way wala huwezi kuteseka
Kukataliwa ni kawaida,huwezi kukubaliwa na kila mtu
Usikwepe mkuu wewe omba tuNdo ushenz ninaoukwepaga huu
Ndo ushenz ninaoukwepaga huu
Usichanganye mapenzi na kazi.Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia zake unaona huyu akinikubalia tukiendana, anafaa kuoa, unamtongoza halafu anakukataa.
Ukute na hapo ofisini ana marafiki zake wengine wa kike, obviously ukimtongoza akikukataa, kwenye story zao atawaambia rafiki zake wa kike kuwa flani alimtongoza akakataa, hivyo CV/status yako kwa ujumla kwenye hiyo kampuni/mbele ya co-workers inashuka.
Mbaya zaidi unakuwa unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness
How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu
Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.
Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
Vijana wa buku mbili hawawezi kukuelewa.
How comes uumie kisa kukataliwa, sasa unataka kila mtu akukubali wewe ni nani!!?
Ushenzi tena? Ukiwa na maana gani?Ndo ushenz ninaoukwepaga huu
BAHARIAπHapa kwenyewe nipo safarini naelekea mikoa ya kaskazini, seat ya mbele yangu walikuwa wamekaa warembo wawili nilipofuatilia nikaona ni ndugu maana walikuwa wanapiga story sanaa. Yule aliyekaa upande wangu amenivutia sanaa, nimechukua smartphone yangu nikafungua sehemu ya Notes, nikaandika maneno machache sanaa.
" Mrembo mambo?
Jirani umependeza sanaa na sauti yako ni nzuri ajabu nimekusikia ulivyokuwa ukiigilizia nyimbo zilizokuwa zikipigwa tangu mwanzo wa safari kwa kweli umebarikiwa sanaa si kwa sauti tuu bali hata sura na umbo, tafadhali nisaidie namba yako kama hautajali.
Ahsante jirani".
Kisha nikampa simu kwa ubavuni mimi na yeye tulikuwa tumekaa upande wa dirishani.
Akaangalia kwanza maneno niliyokuwa nimeandika kisha aka chukua simu akaandika namba yake, tunaendelea kuchati ameniambia anaelekea Loliondo kuwasalimu wazazi......
Yupo charming sanaa.
Nawatakia kazi njema wanajamvi.
Anaogopa kukataliwaUshenzi tena? Ukiwa na maana gani?
Kama ndio katafsiri hivyo pole yake.Anaogopa kukataliwa
Nimekataliwa mimi
Yeye kaona ushenzi[emoji1]