Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

Mwambie asiogope kusema kwa hofu ya kukataliwa, asiposema atajuaje kama kakubaliwa au kakataliwa?
Yeye anataka akimtaka mtu akubaliwe akikataliwa inakua kesi. Watu wa hivi ni wa kuhurumiwa.
 
Mbaya zaidi ukute ulishajipa %kubwa za kumpata,hapo ndo utajua kwanini msondo waliimba ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso"
 
Kumtongoza mfanyakazi mwenzio Ni kosa moja kubwa Sana la kiufundi.

Mimi nikiwa boss wako afu nikukute unatongozana na your fellow workmates lazima nikupige kalamu.
Japokuwa nakuunga mkono kuhusu kumtongoza mfanyakazi mwenzako ila kumpiga kalamu utakuwa "boss mnoko"

Fujo Kwa vijana sehemu za kazi huwa zipo tu japo hata mie sishauri though Kuna wengine wana Nia njema ya kujenga familia maana mke/mme anapatikana popote tu.

Kalamu huwa inapigwa kwa boss kama atamtokea subordinate wake na kama mahusiano Yao yatakuwa hadharani na ndio maana Kwa organization nyingi kama mahusiano yakifika hatua ya ndoa kati ya boss na subordinate wake, mmojawapo anatakiwa abwage manyanga. Ila kwa "peer staffs" hao wanapelekeana moto tu ila yakifika hatua ya ndoa wanabadilishwa vitengo kama kuna option hiyo
 
Kuna mwaka, nimetongoza boss wangu mwanamke tena kwa kumwambia nataka nimtomb😉 ila akakataa... Wala sikuogopa na kuona aibu nilimjibu tu siku ukiwa tayari muda wowote niambie nile mzigo...
Alijifanya kukasirika ila mimi sikuzote sikuonyesha kuogopa au kumuonea aibu... Kuna siku ijumaa tumetoka kazin nikamuomba lift na gari yake anisogeze, akakubali vzuri tu... Tupo njian akaniuliza Asamaleko hivi kwanin huna adabu ulinitongoza dada yako nimekuzid umri..?
Nikajitoa akili nikamjibu umri umenizidi ila kuna vitu huwez kunizidi tukikutana mimi na wewe chumban 6×6... Akanijibu mmmh ila una confidence hatari...
Nikamjibu nishushe hapo mbele ninunue bia nikanywee nyumban nilale maana usingiz wa kibachela unaleta baridi... Akaniuliza kwani unaishi pekeako? Nikamjibu embu leo boss wangu twende ukapajue kwangu kama vipi nisubiri ninunue bia then twende...
Nikashuka kwenye gari yake nikaenda kununua bia zangu huku nikiamini nikirudi nitakuta kaondoka... Heeee narudi nakuta ananingoja 😅 nikaingia ndan ya gari hadi home kwangu...
Akapaki nje ya geti, tukafika ndani akaishia kusimama sitting room, akasema nishapajua naondoka sasa 😅 wanawake wajinga sana, nikamwambia kaa chini ukalie sofa zangu zipate joto na baridi, halafu upumzike kidogo unawahi kwako umeahidiwa kukojozwa..? akaishia kucheka na kusema nina akili mbovu nawaza matusi tu (kimoyo moyo nikajua huyu leo namtomb😅...)
Nikaenda kukaa alipokaa nikamfungulia na yeye bia, nikaanza kumwambia leo ikikupendeza sasa unipe utamu niliokuomba siku ile ambayo ukaishia kunikatalia lakini pia kama haupo tayari jisikie huru kusema hapana...
Akaanza kuona aibu, sikumpa nafas ajibu nikapitisha mkono chini blauz nikamshika kiuno nyama kwa nyama, nikaanza kupitisha kidole gumba kwenye mzunguko wa chupi yake, nikaona kaanza kurukaruka kama bisi nyie watoto wa skuli bus mnaita popcorn... Basi nikamsogeza jirani zaidi akaonyesha kama hataki ila anataka, kosa alilofanya ni kukubali nikamkumbatia nikamla mate nikapitisha mkono chini ya sketi nikabenjua chupi nikaanza kumpima oil dakika sifuri kaloa...

Wakuu acheni umalaya mtakufa kwa uzinzi hii ni CHAI tu haina sukari wala majani ukiiependa ichukue...
 
Nilikataliwa na beki tatu dada wa kazi na bado heshima ikadumu nikawa namlipa tu, haya mambo usiyachukulie kama ndio mwisho wa dunia.
Kwanza mapenzi ya kazini ni hatari sana na huharibu ufanisi.
 
Hamkujadili suala la kuamisha upande bila makubaliano ya pande zote mbili?
 
Wanaume wenzako huwa hatutongozi wafanyakazi wenzetu wala kuleta mapenzi sehemu za kazi.

Hii ni torati.
 
Ukiskia unatakiwa ukaze kisabuni ndio inatakiwa iwe kwenye situation kama hio ila tu hakikisha umekamata co-worker mwingine ili kutuliza wenge.
 
Mimi sijawahi kutongoza mwanamke nikakataliwa. Kwanza wao ndio huwa wananitongoza.

Hivi kumbe kuna kukataliwa?? Mbona hamsemagi mmeficha hii siri miaka yote hii?

Hata akikukataa shida iko wapi? Kwani ni mama akoo?

Mwambie apite kushoto kisha CHAPA KAZI.

Nasema C.H.A.PA K.A.Z.I.

Cc Lamomy Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…