Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

Ila uzuri wengi kwenye hio point namba 1 huwa mna exceptions.

Work mate akiwa level sawa na nyinyi anaenda kupanda daladala mnampotezea ila akiwa ndio CEO huwa mnachagua wenyewe hotel ya kwenda kuvuliwa pampas😁
 
Ukiskia unatakiwa ukaze kisabuni ndio inatakiwa iwe kwenye situation kama hio ila tu hakikisha umekamata co-worker mwingine ili kutuliza wenge.
Sema kutongoza kuna raha yake, unajikuta tu una mafeelings ya nyege. 😂😂😂😂

Raha ya kutongoza ni kukubaliwa. Ukikataliwa unakuwa mdogo kama nyegere.

Hata ufanisi wa kazi unashuka mno. Muda wowote una mashaka na wasiwasi.

Akikuangalia unakimbia kwenda kujificha 🤗🤗🤗

Usiombe acheke na wenzake kwa sauti halafu wagonge mikono... Alooohhhh uharo unabana 😹😹
 
Haisumbui kwa kidume rijali hio!
 
Sioni tatizo lolote kwenye hilo maana mapenzi ni kama kutafuta kazi unaomba na unakosa siku nyingine unapata. Sasa usipoomba penzi utapewa vipi na kwenye kuomba kuna YES or No. We mgeni nini wa hii fani? Watu tunatongoza mpaka mabosi wetu wa kike sembuse demu tu mnayefanya nae kazi
 
Tunakupa last chance mtongozo unaofuata ulete mrejesho wa ✔na sio ❌
 
Mkuu tuliza akili maintain urafiki kua positive kwake huyo manzi ni suala la muda tu utapiga sana mpaka utakina

Unapohitaji kitu unatakiwa ujue kuna kupata na kukosa. Ukielewa hili hakutakua na mambo ya kutia huruma ikitokea umekosa ulichokihitaji.

Kingine cha muhimu, usitongoze mtu unafanya nae kazi ofisi moja itakusaidia kukwepa fedheha zisizo na ulazima.
Unatongoza tu bhana , mtongozaji mahiri achagui kambi wala haogopi kukataliwa .
 
Wewe mara ni mshangazi mara huku unatongoza wanawake , unatuyumbisha sana mabaharia ujue.
 
Kuna wengine wanataka wakitongoza wasikataliwe ikitokea wamekatalia vita inaibuka. Shida ndio ipo hapo.
Hujanielewa, mimi siwezi anzisha vita/uadui na mdada alienikataa, shida ni emotions zangu binafsi baada ya mimi kukataliwa, kukataliwa ni aibu na kunauma haswa haswa kama mdada alienikataa akiwaambia rafiki zake wa kike, daah, hata kama mmoja wa hao marafiki zake wa kike alikuwa ananipenda, akisikia story ya mimi kidume nimetongoza nikakataliwa, lazma atanishusha hadhi Kelsea
 
Mwanaume ni lazima utumie akili. Siyo unazuka tu na kumparamia mwanamke kuwa unampenda. Pima mazingira. Anza kumzoea taratibu. Angalia mwitikio wake. Angalia anavyo respond. Suggest sehemu ambazo mnaweza kwenda pamoja. Ukiona signal zote ni OK then wasilisha mada. Kama alikuwa anaonyesha ushirikiano siyo rahisi kukukatalia.
 
wewe hujakutana na KE anaye onyesha dalili za kukutaka ili umtongoze halafu akupige chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…