Yes, hatuwezi kufanana lakini sioni sababu kuwashangaa watumiaji na pia watumiaji sio sahihi kuwashangaa wasiotumia kilevi. To each his own.Sio mtumiaji wa hivyo vitu mkuu
Uko sahihi, haipo sababu ya kushangaa wanywajiYes, hatuwezi kufanana lakini sioni sababu kuwashangaa watumiaji na pia watumiaji sio sahihi kuwashangaa wasiotumia kilevi. To each his own.
Jiandae kutombew*a sanaFresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Tafsiri ya kushangaa ni pana, unaweza kushangaa jambo kwa kujiuliza.Uko sahihi, haipo sababu ya kushangaa wanywaji
Hata mimi sijawashangaa, nimejiuliza
Hahaha,changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Hapo lazima utapigiwa kama ngoma maana demu mlevi hakosi kuwa ChawoteNafanyaje hapa wakuu?
Basi mimi nimejiuliza,sijashangaaTafsiri ya kushangaa ni pana, unaweza kushangaa jambo kwa kujiuliza.
May be, maybe not.Basi mimi nimejiuliza,sijashangaa
Mtu akishakuwa mlevi anakuwa na vijitabia vingine vya kulala na kila mtu, hasa mwanamke
Pombe sijui watu wanaipendea nini π€¦ββοΈ
Kwanza sio tamu
Tafuta mpika uji mkuu Huyo muache tutaonana naye club!Kwa nini niwe muongo?Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Usimwache bro nenda naye taratibu msaport baadae mtengeneze mazingira ya kuacha πΊ taratibuFresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Mm nafeel bia tamu πππ
Anyway dear. Nadhan ww Una uzoefu mbaya na walevi.
Ila kuna kunywa pombe na kuna kuwa mlevi.
kwa mfano , mm huu mwaka toka Jan. Nimelewa ile nikasema nimelewa ni mara 1 au 2. Na ndio unakuta una vibe na uko na wana na kurud home saa 10 alfajiri.
Ila ni makin na unafika tena una drive na sijabeba malaya.
Hizi siku ingine ni haste haste.
Na 5 days kat ya 7 days za wiki nakunywa.
ni kweli ukinywa na ukiwa mazingira hatarishi na ukawa na manyege basi utatafuta mwanamke mtu. Ila ukinywa kistaarabu. Haya mengine ukiamua kufanya ni kama yuke ambaye hanywi na akaamua jambo lake dhidi ya mwanamke.
Kaka angu hanywi bia ila ana watoto 8. Kaachana na mke wake. Anakaa na kimada na 40yrs hajafika.
Mimi ni opposite yake.
Wakat kiuhalisia nilitakiwa niwe moto usiooteka. (Achana na ule unaoota ukikaa kwa mbali ππππ).
Experience yangu na wanawake ''walevi' ni uhuni wa kulala hovyo na watu
Kwa wanaume sina uzoefu sana kwasababu bado sijakutana na mwanaume yule mlevi ambaye anakunywa hadi anayumba
Kunywa siku 5 kati ya 7? πβ
Mnunulie kreti za kutosha anywee nyumbani. Ukimruhusu kuja baa, usitulaumu.Fresh wakuu?