Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,284
- 9,221
Kuna mlevi na mnywaji, mnywaji anavumilika sababu hapotezi network, ila kama mlevi achana nae.Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Sasa mtu anakunywa Castle Light unalalamika!!!! Angekunywa Safari kama mimi ungesemaje??🙃🙃😉😉Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle light) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Hatujaoana,,ana biashara zake anafanya (Duka la vipodozi),Kuna hapo amesema apunguze anywe kama ngapi.
Na atapunguzaa kidogo kidogo na hiyo nyingne kuwa anapenda bia.
Shem wetu yuko poa kabisa.😊😊😊😊 anajiamini.
Mm nadhan kama anakunywa bia. Tena hizo light na anazimudu na kufanya majukumu yake basi Bia sio red flag kabisa.
Je Umemuoa? Au Unaishi nae tu? . Mna watoto? Ana majukumu mengine yap yanayombana?.
Analewa na kina nani?.
Ni mwanamke ana shughuli zake rasm na malengo?.
Bia kwa kiasi sio ishu sana. Ishu ni hiyo kupenda sana bia, je matokeo yake ni yapi?. Na inamset vipi yeye kama Mama wa Familia yako?.
Wewe unayeishi naye haujui uende naye vipi then kwa hiyo paragraph moja watu wawe wamemfahamu kiasi cha kuweza kukuamulia kama umvumilie au uachane naye?Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Km ni hivi wewe acha aendelee kua Kibonde na G Habash tu hakuna namna,Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Huo moto ulikua unawakia wapi?Maskini mie, nikaja kuangukia kwa msabato, hanywi bia lakini moto unawaka balaa
Mwanetu anahitaji msaada sio wa kumuacha huyo unapigisha mimba double double akipata mimba km 7 mpaka 10 mfululizo hivi anaacha tungi mwenyewe niamini mimiWewe unayeishi naye haujui uende naye vipi then kwa hiyo paragraph moja watu wawe wamemfahamu kiasi cha kuweza kukuamulia kama umvumilie au uachane naye?
Can you please make it make sense?
Kwa mtu yeyote aliyewahi kuteleza kitabia akaendaenda bar ujanani mwake hawezi fikiri mara mbili kuhusu nini cha kufanya kwenye hali kama yako.Fresh wakuu?
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole.
Note:majukumu yake kama mwanamke anayatekeleza vizuri tu but changamoto yake ndio hiyo ya unywaji wa bia.
Nafanyaje hapa wakuu?
Pombe ni tamu bwana. Chukua JD weka kwa glass, changanya tonic na vipande vya barafu, weeeeeee!.Mtu akishakuwa mlevi anakuwa na vijitabia vingine vya kulala na kila mtu, hasa mwanamke
Pombe sijui watu wanaipendea nini 🤦♀️
Kwanza sio tamu
Zingatia hii mleta mada. Mimi ni mywaji.Kwa mtu yeyote aliyewahi kuteleza kitabia akaendaenda bar ujani mwake hawezi fikiri mara mbili kuhusu nini cha kufanya kwenye hali kama yako.
A drunken mind has neither wisdom nor free will. Under influence of alcohol people fornicate, misuse resources and engage in abusive behavior. Unless you are willing for these, you ought to do the needful.
wewe wasema mkuu!Mzee unakula mizoga na unatamba🤣🤣