Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Kitendo cha kusema ni mchaga, hata angekuwa msaidizi wa malaika gabriel/gibrili nakuapia hapo hakuna mke mura weito....
Wachaga, wameru, wairaq, wajita na jamii yao, wahaya...mamaaaa hapo hakuna mke hata awe mchapisha biblia na quran.
 
Ni kweli lakini sio kweli.

Wapo watu wakinywa hawawazi ngono kabisa, they just need their own space to dance, talking to their minds and laugh then sleep. So while I partly agree with your opinion I beg to differ when you want to absolutely generalize how people behave when they are drunk. Others become more wiser than when they are sober. I know a certain Judge who drink when writing a Court Judgement and you can reasonably see solid pieces of wisdom in the Judgement.
I humbly submit Daktari.
 
Dunia ina watu zaidi ya Billion 7 na zaidi ya nusu ni wanawake.
 
Mello tunaomba kitufe cha kubadiri lugha.
 
Cha ajabu mwanaume mlevi nae hataki mwanamke mlevi. Baba yangu anakunywa na kaka yake hanywi ila mkewe anakunywa balaa, siku moja ma mkubwa akasema mimi bora tungeoana na huyu ndio tunaendana 🤣🤣 mzee aling'aka kama ndio kaambiwa amuoe saa hiyo
 
was not necessary to mention the tribe. not at all
 
Niko naangalia unafki wa wanaume
Sisi wanawake tunasubiri hawa watu🤣🙌
 
was not necessary to mention the tribe. not at all
Kwa sababu ndio wapigaji sana wa vyombo. Mwezi uliopita kuna binti namfahamu amepoteza mtoto...wakati wa ujauzito alikuwa anapiga vyombo kama hana akili nzuri. Mimi sijui vina uhusiano gani ila nadhani ilichangia kwa kiasi fulani
 
mmekutana bar harafu unataka aache pombe connection atatoa wapi

bado ulikuta sufuria mfuniko hakuna tafadhari mkuu tafuta fedha
 
Mwanamke Anayekunywa Pombe kwangu big NO! enzi za ujanani nimewala sampuli tofautitofauti weekend Unamtumia usafiri aje kula lager na mishikak ya nundu stori mbili tatu masaa yashasogea mkitoka hapo mpo bwii!! Kifwatacho ITV!
We ni muuaji😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…