Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

Experience yangu na wanawake ''walevi' ni uhuni wa kulala hovyo na watu

Kwa wanaume sina uzoefu sana kwasababu bado sijakutana na mwanaume yule mlevi ambaye anakunywa hadi anayumba

Kunywa siku 5 kati ya 7? πŸ˜€βœ‹
Sasa unakunywaje hadi uyumbe?!

Kunywa siku 5 wala hakuna issue, as long as unakunywa responsibly.
 
One of the biggest lie tangu CCM iingie madarakani.
 

Sasa Ulitaka Anywe Nani Hizo Kesto Laiti...Ng'ombe Au Mbuzi...??Hizo Zinatengenezwa Kwa Ajili Zamadamu....​
 

Sasa Ulitaka Anywe Nani Hizo Kesto Laiti...Ng'ombe Au Mbuzi...??Hizo Zinatengenezwa Kwa Ajili Zamadamu....​
 
Wapo wengi wasio kunywa pombe Mzee

Akaishi na mlevi mwenzie.
 
Huyu ni aunt yangu anapenda bia lakini sio mlevi.Tangu tunakua anakunywaga bia sijawahi kuskia amegombana na mme wake kisa pombe.Swala la muhimu ni kuwa na kiasi.Binafsi nakunywa na haijawahi kuwa kikwazo kwa mme tangu anioe.
 
Ni yule mjane au huyu ni mwingine
 
Bia ina shida gani ? Kwa upande wako?

Vipaumbele vyako kwake ni vipi ?

Mahondaw na Smart911 wanasema MUONGOZO ulikosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…