Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
mimi sikupigi utajipiga mwenyeweMy friend Mimi natumia akili nyingi sana Nikiwa na partner wangu,,,nasoma Sana mood yake before anything.,..Kama namsimulia jambo naangalia response yake Kama Yuko interested nayo au vipi Nikigundua hanipi attention najua kaboreka na switch story,Kama ninaongea jambo alilonikera pia naangalia mood yake,Kuna Ile Hali unaona huyu anajutia,na Kuna mood nyingine anakuwa na jazba,akiwa na jazba Mara nyingi huwa naachana na hayo maongezi,,(hamna kitu naogopa Kama ngumi ya mwanaume)
Daaah kweli hapo kwenye makofi huwa wana washwa sana hao ma chiriku chiriku 🤣🤣🤣🤣🤣Nililelewa kwa lugha za ishara Sana utotoni,,yaani nikizingua mbele za watu bi mkubwa haongei chochote akigonganisha macho tu na wewe unajua hapa kamaanisha acha,kula,kaa, so nimejikuta na hako katabia kakumsoma mood ya mtu.
Ila kikubwa kuongea ongea Sana mwisho mtu akuwashe makofi na hayo mambo Mimi ndio sitaki kuyasikia
Nilichokizingatia ni hapo kwenye muv za thor ndo la muhimINTRODUCTION:-
Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE.
Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO AISEEE.
SCENARIO:-
Jana ofisini (halmashauri) kulikua na mfululizo wa vikao.
Kilianza kikao cha Finance, ikaja taarifa za kata na mwisho kikao cha majibu ya hoja.
Kifupi siku ilikua bizee na mwili ukachoka sanaaa.
Sasa kufika ile saa 3 usiku ikawa niko vibaya na uchovu, nikaona Bora nikanunue chakula nile then nilale.
Katikati ya usingizi akapiga simu sista wangu, nikaona anazingua nikakata simu nakuweka silence.
Nikajinyoosha kitandani mpaka asubuhi ya Leo.
Sasa ile naamka nakuta missed call za pisi moja nayoichakata zimejaa kibaooo.
Nikasema "nimpigie" bwanaa eeeh ile kumpigia "Niliambulia maneno mengi ya kushushuliwa kwanini sipokei simu"
Sina shida na hisia zake "yupo sahihi" kwamaana hakua na taarifa na kikao au chochote cha kazini, ila Nina shida na mdomo wake ""kwanini aongee yote yale tena kwa kunichamba?""
FLASH BACK.
1. 2014 nilishawahi "date" na mdada mmoja wa kitanga (mdigo) aisee yule dada alikua ni ustadhati kweli.
Yaani ukimuona hivi utasema "mke ndio huyu" mtoto anaijua kujisitiri kwa mavazi na muonekano ila bana mkiwa ndani "Ana mdomo huyoooo"
2. Ukweli kabisa second born wangu nilianza kukataa tokea mimba yake, na sababu ni mdomo wa mama ake.
Huyu mwanamke ni WA Tanga na ni mdigo.
Kuna muda anaongea mambo mpaka unahisi "Kamaanisha au nini?"
Nyie mama wa huyu mtoto wangu wa pili ana mdomo nyiee.
Ole wako ukachelewe kutuma ada eeh unalooo.
Ole wako akuombe hela ya jambo fulani la kuhusu mtoto na umuahidi "nakutumia baadae" halafu Kazi zako zifanye upitiwe, aisee "Utajutaaaa".
Kifupi huyu mdigo ana mdomoooo.
Sasa huwa nawaza "Atakaye kuja kumuoa, ITAKUAJE NA HUU MDOMO?"
3. BINAMU YANGU.
Unakumbuka ile story yangu ya "Uyatima?"
Kwenye ile story kuna yule binamu yangu "alinifukuzaga kwao".
Sasa bana miaka ilivyoenda shangazi yangu/mlezi wangu/mama wa huyo binamu, aliamua kutupatanisha.
Ila tokea tupatanishwe kiukweli sijawahi na siwezi kubond na binamu yangu.
Na hasa lililokubwa ni mdomo wake.
Binamu yangu ana mdomo balaaa.
Kunakuwaga na ile "family reunion" kila December, then huwa nikifika Moshi kwenye hiyo family reunion "Lazima nimkwepe" kwasababu ya mdomo wake mrefuu (maneno mengi).
4. PS WA MKURUGENZI.
PS wa mkurugenzi wetu bana ana mdomo, na siku zotee huwa natumia "tekiniki" za kuukwepa mdomo wake wakati wa Kazi.
Sasa bana juzi "nimeyakanyaga" Kuna jambo nilimwambia dogoo tu kuhusu faili kwenda kwa mkurugenzi, ila yeye alilikuza ile neno, aliongeaaa pale akaona haitoshi, nilivyotoka ofisini akanitumia sms, akaona hajaridhika "akanipigia mara kibao" ila sikupokea.
Huyu dada ni mke wa mtu, sasa huwa najiuliza "nyumbani mumewe ana hali gani?"
THE BIG PROBLEM:-
Yaani nimekutana na wanawake wengi, kazini, mtaani na koteee huko na ni wake za watu + wengine wachumba ila aiseee Wana midomo nyieeee.
Na Mimi kitu ambacho sipendi ni "MDOMO Mkubwa/Mrefu"
Kuna siku riki boy niliona anasema "dawa ya mwanamke mwenye mdomo ni kuondoka ndani akiwa anaongea", Sasa najiuliza "mdomo ukifunguliwa usiku utaondoka uende wapi huo usiku?".
Sikatai kuhusu kukosea, maana Mimi ni binadamu "Nakosea" ila sasa nikikosea "si unieleze neno moja nielewe" sio mdomo mrefuuuuuuuuu mpaka sasa unatoa ile maana ya kunionya inakuwa dhamira ya kunikera.
Nyie.....
MDOMO UNAKERA.
Na kwasababu ya mdomo, acha tu niishi mwenyewe SINGLE BOY.
ANYWAY:-
Tuendelee kutafuta HELA.
Wale wapenzi wa movie za MARVEL na DC, karibuni gheto tucheki movie zote za THOR..!!
MDOMO nyokooooooo.
#YNWA
Dunia haiishi MAAJABU😁Raisi wa wakataa ndoa anachakata mbususu, raia wake wanapiga punyeto.....
Mimi nafikiri sisi wanaume wengi wetu hua hatupendi kuwasikiliza wanawake zetu, na pia hatujali kumsikiliza mwanamke anapo ongea ni pamoja na kuachana na kile ulikuwa unafanya, concentrate kwenye kile anacho anaongea. Sikiliza hisia zake zinaongelea kitu gani na sio kile ambacho mdomo unaongea tu.Binafsi,Kama mwanamke huwa namuelewa Sana Mwanamme anayenisikiliza......na Kuna baadhi yenu mbarikiwe Sana ni wasikilizaji wazuri saana...Kama wewe umegundua Hilo tayari basi wifi anaenjoy tu
Nilichojifunza kwa hawa wanawake, ni wanapenda kusikilizwa sana, tujifunze kuwasikiliza hata kama wanaongea upuuzi ni lazima uusikilize tu tofauti na hapo ni mgogoro,MWANAMKE wangu nilimwambia ukiweza ongea usiku mzimaa na mchana wote ila USITUKANE..
Yani mwanamke ukimsikiliza ujinga wake anaona huyu ndo mwanaumee yani ukimrekebisha hapo mtagombana sana aisee..Nilichojifunza kwa hawa wanawake, ni wanapenda kusikilizwa sana, tujifunze kuwasikiliza hata kama wanaongea upuuzi ni lazima uusikilize tu tofauti na hapo ni mgogoro,
Ushauri kwa wanawake,
Jifunzeni namna nzuri ya kuwasilisha hoja zako kwa mume, wanaume hatupendi kelele au kufokewa, tafuta namna ambayo utaongea na mume bila kuogombana nae , mume atakusikiliza na atkuelewa na atafanya kile unataka au zaidi ya paleulipodhani
[emoji122][emoji122][emoji2935]Ni asili yao na hata ukiona anakupigia stori nyiiingiii usije ukadhani mnoko hapana, ni vile Huwa wanatafuta mtu wa kuwasikiliza.
Ni watu wa kuyabebelea rohoni na kuyavundika.
MAISHA YAO YANAONGOZWA NA HISIA.
Ila mwanamke akikupenda kwa dhati na ww ukauthamini upendo wake,kamwe hawezi kuwa na mdomonachukia sana hali hiyo ila tunaishi nao kwa akili.
Silaha ya mwanamke ni mdomo.
yes wanawake wa hivi peponi moja kwa moja. Kuna wanawake hata wakasirike vipi hawanyanyui mdomo wanajua ni muda gani sahihi wa kumuelekeza mwanaume wake kwa upendo.Ila mwanamke akikupenda kwa dhati na ww ukauthamini upendo wake,kamwe hawezi kuwa na mdomo
Sio kweli unaikwangua zaidi ya vocha lakini wapi, wapo wanawake ni asili yao , yaani ni visirani tu na ukali uliopitilizaUkiona mwanamke ana mdomo ndani ya nyumba brother bado hujajua kukwangua ikusi vizuri.... Kwangua hadi ifululize kujamba kama vuvuzela "mbuuuuuuuuhhhh" uone kama atakuwa na confidence ya kukupandia juu.
Hapana nakataa. We unasema hivi ili kujitetea ila nikuambie tu ukweli jeuri ya mtu ni kabla ya kujua madhaifu yake hasa vile vitu vya kumdhalilisha akuonee aibu.Sio kweli unaikwangua zaidi ya vocha lakini wapi, wapo wanawake ni asili yao , yaani ni visirani tu na ukali uliopitiliza
Kuna wengine ni nature,yani ndo kazaliwa hivyo,hata ukwangue vipi haachi kuwa na mdomo[emoji2960]Ukiona mwanamke ana mdomo ndani ya nyumba brother bado hujajua kukwangua ikusi vizuri.... Kwangua hadi ifululize kujamba kama vuvuzela "mbuuuuuuuuhhhh" uone kama atakuwa na confidence ya kukupandia juu.
Sio kweli bhna, nje na hapo labda ana matatizo ya akili mkuu.... Mimi nasema hivyo kwa kuwa nina expirience na hao chicks soma reply yangu ya juu hapoKuna wengine ni nature,yani ndo kazaliwa hivyo,hata ukwangue vipi haachi kuwa na mdomo[emoji2960]
Raisi wa wakataa ndoa anachakata mbususu, raia wake wanapiga punyeto.....
Dunia haiishi MAAJABU😁
Sasa Hawa ndo wanapata wanaume ambao hawaaheshimu,wanawadharau na kuwaona wao si lolote,yani wanawanyanyasa kwa kuwa ni wapole na hawezi kujiteteayes wanawake wa hivi peponi moja kwa moja. Kuna wanawake hata wakasirike vipi hawanyanyui mdomo wanajua ni muda gani sahihi wa kumuelekeza mwanaume wake kwa upendo.