Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

sijui kwanini huwa hivyo na kwa wanaume wale wapole hupata wanawake viropo na wakorofi mno
Yani we acha tu yani unakuta mkaka wa watu ni mpole Hana baya na mtu,anajitambua,anajua wajibu wake kwa mke,muumini mzuri kwenye dini,lkn hako kamama alikokapata kutwa kucha ni kelele na mdomo,huku anaagiza tu baba nani,uje na nini sijui nataka shopping ya laki tatu[emoji1][emoji1],utafikiri Hela anajua kuzitafuta kumbe mwenzie anapambana,na akirudi kazini anakutana na maswali mlangoni kwa nn umechelewa ulikuwa wapi,badala ya kusubiri kwanza mtu apumzuke umuulize kwa utaratibu.

Sometimes kweli sisi wanawake tunakera,hatuwahurumii wenzetu wanaohangaika kwa ajili yetu
 
😀😀😀😀😀 yaani tena huyo mama wa second born wako ndo amafaa

Usikate tamaa wapole wapo
Na miaka yangu hii 33 nilishawahi kuwa na urafiki na mwanamke mpole mmoja tu, na yule alikuwa HIV+.

Hata ule upole wake nahisi ni kwasababu ya hali yake.

Ila ukizungumzia urafiki wa kunyanduana SIJAWAHI KUKUTANA NA MWANAMKE MPOLE(ASIYE NA MDOMO).

#YNWA
 
Kuna mtanga nlikutana nae jkt mujibu wa Sheria, baadae tukakutana chuo tukawa marafiki mwisho wa siku tukadate aisee alikua muongeaji demu lomoni kibao.....

Nlimcheat akajua, baada ya pale mda wa show nilikoma nikimuweka style ya hv ananambia ndo mchepuko anakupaga hvo ee! Kila nikijaribu kufanya kitu kipya nsimangwa!
Nikakimbia ya nn mie
 
Binafsi,Kama mwanamke huwa namuelewa Sana Mwanamme anayenisikiliza......na Kuna baadhi yenu mbarikiwe Sana ni wasikilizaji wazuri saana...Kama wewe umegundua Hilo tayari basi wifi anaenjoy tu
Unamsikilizaje na huna pesa, ye anataka pesa
 
upo sahihi kabisa ndio maana tunapaswa kuishi nanyi kwa akili vinginevyo unaweza jikuta jela. Kuna jamaa yangu mke wake ni mlalamishi sana hana jema wala zuri hata kidogo kutoka kwa mumewe, mumewe mpole anatekeleza kila atakachoagizwa ila bado mwanamke mdomo haukomi, huwa najiuliza hivi alimpendea nn mtu mlalamishi kiasi hicho? Ingekuwa ni mimi ningeshamuacha mda sana.
 
Yani kifupi na wewe una mdomo. Kuandika yote haya si mchezo. Nachoamini wapo wasio na midomo pia. Ila ukitaka kuishi nao vyema tekeleza wajibu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…