Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Huna hadhi ya kuitwa mwanaume.,.bado ni mvulana mwanaume halalamiki hashindwi na kitu sasa wewe mwanaume wa wapi)
Ndio maana niliita wanaume wenzangu tunaojua uchungu wa pesa....Nyie si mnajua kutumia Tu tumeshawachoka!
 
Na mwanamke wa kweli anashindwa kila kitu, kazi yake kuomba omba tu,, ama umemaanisha vingine? Una ndoto ya gari ila ili ndoto yako itimie lazima nikununulie mimi,, maana yake unanihitaji zaidi!! Sijui nani amewaloga!!
Teh! kabisaaaaaa..
 
Na wenyewe wanaumiaga mnapowasokeza magegedeo yenu ya size ya mkono wa bashite hivo wanataka angalau chochote cha kuwapoza
Na sie pia tunaumia tunapowasokomezea!
 
Simple ww plus Mimi madeni so acha nitafute dooo nikizipata nitakutafuta labda
 


Hahaha, sikuamini amini kama nilikuwa nakusoma wewe kweli. πŸ˜€
Seriously, umeshusha darasa mubashara dear.
Nimekuelewa na nilikuelewa toka ufafanue kuwa huwa unawakumbusha wakina kaka jukumu lao kubwa la kutafuta na kutunza, wao wakiwa kama vichwa vya familia.
Na hii kuhusu kuwatia moyo na kuwa support katika utafutaji, you're right on Point! [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Singles tunaishi kwa raha kweli.
Kuna jamaa angu aliniambia wanawake wanarudisha nyuma maendeleo ya mwanaume.
N.B alizungumzia wanawake hawa wa kuanzisha mahusiano unapokutana nae sio mke.
Jamaa yako ana akili sana! Ukitaka kutajirika sahau hawa watu kwa muda...
 
Koh koh...

Naomba shemeji yangu akurudishie simu yako haraka.

Cc Nalendwa
 
Mie bado nimelala, sijaamka ujue!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…