WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

Nikuulize kitu Kapeace

Wapi uliona vitabu vitakatifu vinazungumzia Karma?

Hizi ni mambo tu watu wamejitungia kutishana tu
Kula andiko hilo
``Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.
Luka 6:38
 
😄😄😄 ninachojua ni mtu mwenyewe ndiye huvuna matoķeo ya dhambi zake.
``Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.
Luka 6:38

Wagalatia 6:7-8

Neno: Bibilia Takatifu

7 Msidanganyike, Mungu hadanganywi. Kwa maana kila mtu ata vuna kile alichopanda

Waroma 2:6 BHN

6 Siku hiyo Mungu atamlipa kila mmoja kufuatana na matendo yake.
 
Hakuna binadamu aliyezaliwa na WEMA asilimia zote...
HAYUPO na sidhani kama atawahi kutokea,
Wakati unafikiria hilo pitia na hili kuwa hakuna bina aliyezaliwa na UBAYA wa aina yoyote ile.
Kwa maana hiyo kila jambo ni uamuzi tu.
Chanzo cha matatizo haya yote ni wewe kufanya maamuzi halafu ukakataa MATOKEO ya maamuzi,
Bro, mke wa kwanza ni kwanza haijarishi, yule ndiye amebeba baraka zako aisee mrudie not matter what FACT!
Au kama utashindwa kumrudia mpe imani kwanza kwamba ulikosea na unajutia, pili hamuwezi kurudiana, tatu mpe hata MTAJI aanzishe mambo yake..

Aisee nimechoka kuandika utanicheki hata DM nikutumie namba zangu tuongee zaidi.
Uzi wako umenifundisha jambo fulani, AHSANTE.
 
Ulikosea sana mtu uliyepaswa kumpa kipaumbele ni huyu ambaye umekwisha zaa nae... Wengine mnawezaje kukubali kuwa na watoto kutoka kwa mama tofauti tofauti aisee....
Hii ya kua nawatoto kutoka mamatofuati hua inatokea mara nyingine sio kupanga.kuna scenarios nyingi zenye kusabbaisha mwanaume kuzaa nawanawake tofauti ikiwemo ya mwanamke kujibebesha mimba nje ya makubaliano namwanaume.
 
Unateswa na guilt,siyo tukio lenyewe.
Ni moja wapo ya ugonjwa wa akili.
 
Msimamo ni ule ule hakuna Kuoa single Maza. Haijalishi ni single Maza wa namna gani.

Kwenye kuzingua hapo kila mmoja amezingua kwa namna yake mwanaume kwa tamaa zake na mwanamke kwa ujinga wa kuto chukua tahadhari.

Msimamo ni ule ule KATAA SINGLE MAZA.
 
Wacha kujifariji.

Single Maza sio wa Kuoa.

Utaowaje mke wa mtu?

Msimamo ni ule ule KATAA SINGLE MAZA.
 
ajabu ni kwamba kuna male atasoma hichi kisa thereafter atarudia the same mistake
Kwani kuna kosa gani hapo? Kuto kuolewa kwa huyo mwanamke hakuhusiani na kuzalishwa. Ni matabia yake tu ya hovyo,asitafute mchawi.mbona kuna wadada kibao tu walizaa na waliolewa vizuri tu.
 
Operation inazuia nini kwani? Halafu huwa mnasema humu waliopasuliwa ndo safi kei inakuwa vilevile
Hata mimi nilisema huko juu mbona kati ya hivyo hakuna kinachozuia binti kuolewa ? Wamekazana eti wanaume wanamuacha kwa sababu ana mtoto eti mwingine alimuacha kwa sababu ya mshono !! Ni wakati wake tu haujafika , au hana bahati au mienendo tu !!
Kwani kuna kosa gani hapo? Kuto kuolewa kwa huyo mwanamke hakuhusiani na kuzalishwa. Ni matabia yake tu ya hovyo,asitafute mchawi.mbona kuna wadada kibao tu walizaa na waliolewa vizuri tu.
 
Bro pole kwa majuto ila bado hujachelewa, ikiwa kama umepata moyo wa huruma wa kutafuta namna ya kumchukuwa mtoto wake ili nae apate mwenza wake ila imeshindikana fanya uwe nae wewe, maana hayo majuto hayatakwissha na lawama kwako hazitaisha.... Jiongeze mke mwingne kwa kumfurahisha mwenzio
 
Hata mimi nilisema huko juu mbona kati ya hivyo hakuna kinachozuia binti kuolewa ? Wamekazana eti wanaume wanamuacha kwa sababu ana mtoto eti mwingine alimuacha kwa sababu ya mshono !! Ni wakati wake tu haujafika , au hana bahati au mienendo tu !!
Huyu dada hajamuacha ex wake katika nafsi hata akiwa peke yake fikra zake ni ex, hawezi kupata mwnaume km bado anaishi kwenye kivuli cha ex
 
Kwani kuna kosa gani hapo? Kuto kuolewa kwa huyo mwanamke hakuhusiani na kuzalishwa. Ni matabia yake tu ya hovyo,asitafute mchawi.mbona kuna wadada kibao tu walizaa na waliolewa vizuri tu.
Huoni kosa hapo??
 
ajabu ni kwamba kuna male atasoma hichi kisa thereafter atarudia the same mistake
Kwani kuna kosa gani hapo? Kuto kuolewa kwa huyo mwanamke hakuhusiani na kuzalishwa. Ni matabia yake tu ya hovyo,asitafute mchawi.mbona kuna wadada kibao tu walizaa na waliolewa vizuri tu.
Huoni kosa hapo??
Hilo siyo kosa,
 
Kwa io yeye aliyefanya anajutia bure?? kwa fikra zako si ndio.
 
Sioni hasa unachojuta,hata umgemuoa mngeweza kuachana vile vile .Hiyo ndo dunia,usijifanye una huruma sana!
Nashangaa anachojutia hasa na watu wanavyomsimanga sijui ni nini kwakweli. Sibariki wala kuyakubali matendo aliyoyafanya ila wote hapo wamecheza 50 50 kuleta hiyo kadhia, sasa uje ujilaumu wewe, kwani yeye hana akili. Hakumbaka, ila binti alifanya choice, huko kushawishiwa mbona wanaume tunarubuniwa na wanawake mara nyingi kuwahudumia na kuwasomesha ila siwaoni wakijutia na mwanaume kosa utalibeba mwenyewe na hutalifanya tena kwasababu mtu unakuwa umejifunza. Hot period ndio ukae useme nilishindwa kuvumilia nyege nikaamua tu liende, sasa siutalala na kila mwanaume atakayekurubuni. Mbona tuliyofanyiwa na hao wanawake tumeshasahau na tumeshasonga mbele na siwalaumu hata ila in one way au the other walirudisha maisha ya mtu some step backwards. Aisee, wanawake jifunzeni kutake accountability of your own actions hasa kipindi hiki ambacho dunia mmeibadilisha wenyewe.
 
Na ulivyo na roho mbaya, unasubiri aolewe ili ukamvurugie mahusiano yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…