Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sidhani maana kuna siku alivyoniona alitaka kunifanya kitu kibaya mbere za watu , nikasalimika.,anashindwa kuolewa simply kwa sababu amekubeba kichwani,
Daah pole sana ulimkosea sana kama Ulitumia nguvu nyingii kumlala kumbe Lengo lako umwageee tuu.. genye ni tatizo kubwa sanaa kwa wanaumeee ubaya umeharibu future nzima ta mtoto wa watuu sababu ya Tamaaaa za mwili.Hapana sidhani maana kuna siku alivyoniona alitaka kunifanya kitu kibaya mbere za watu , nikasalimika.
Google "J cohen type of incision" utaijua.Style ya J Cohen ndio ipoje??
Pole,maisha ya uzinzi yana concequences nyingi sana,unaweza usione madhara yake sasa hivi ila yakamkuta mwanao baadaye kama hilo,inawezekana manung'uniko ya huyo binti pia yakakusababishia hata mikosi kwenye maisha yako n.k...Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.
Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto ninaishi nae mimi. Kitu hiki ndo kinanifanya kuwa na majuto kitendo nilichomfanyia mama yake. Daa kinaniumiza sana sometime nawaza bora ningemuoa mama yake.
Kipindi nipo chuo mwaka wa 3 naingia. Mwaka wa kwanza ndo walikuwa wanafika chuoni. Sasa si unajua mambo ya chuo mabinti wapya kutoka form 6 ndo wanakuja. Vijana mambo ya chuo naamini mnaelewa. Sasa nikamuona binti mmoja, nikaanza kumvizia sana, nakumbuka kipindi kile na rafiki zangu tulikuwa tunagawana mabinti, mimi huyu wewe yule.
Nilizoeana nae na kuanza kumfuata ili kuanzisha mahusiano nae. Nilijitahidi kuvizia na kupeana mbinu wa friends. Wenzangu walifanikiwa baadhi hadi kuwa nao first year. Ila mimi bado ananiangaisha.
Yeye alisema issue ya mahusiano hapana labda kuwa friends kawaida tuu. Mimi nikaona poa ila bado namvizia yule dada. Japo alikuwa mgumu sana.
Siku moja chuoni night watu walikuwa wanafanya discussion. Sasa nilikuwa na yule binti night siku ile tulipiga story kadhaa. Nilipanga kusex nae anytime nitakapo pata chance.
Siku ile nilipanga leo ni leo nitafanikiwa. Nakumbuka niseme kwa kifupi tuu nilimlaghai sana kwa kumshika shika akawa anasema tuu acha. Baadae akatoka akaamua kuondoka kurudi hostel, mimi nilikuwa sikai mbali na chuoni ghetto langu ni maeneo hayo ya chuoni tuu.
Nilimshikashika mpk akasema usinishawishi kuzini mimi siitaji.
Niliendelea tu.
MWISHOWE alilainika na akajikuta anakubali , nilienda nae ghetto tukasex na alilala mpk morning.
Asubui anashituka daa nikamkuta analia sana na kunilaumu, aliondoka na kwenda hostel .
Hatukuwa karibu kama 2 weeks hivi. Baada ya wiki 3 na siku kadhaa akaniambia siku zake haziona. Mimi eeeeeee. Nilishituka sana. Kumbe siku ile alikuwa siku zake za hatari . Nikili tuu nilitake risk sikutumia condom.
Niliisi kama kuchanganyikiwa hivi nikaona au ananimbambikizia nini. Niliwaeleza wadau wakasema Katoe , mimi daaa kitu hicho sijawahi hata kufanya , nikimuangalia binti yeye namuona she is not okay muda wote mpk wenzie wanamuliza shida nini.
Nikaa kimya tuu siku zinaenda naona tumbo hilo. Baada ya miezi kama 3 hivi ujauzito ukaanza kumsumbua sana. Mpk akaanza kunilaumu mimi. Akalazimika kwenda kwao. Kwao walimzingua sana tena sana.
Alikuwa ananipigia simu huku akinilaumu kwa siku ile.
Akalazimika kusitisha chuo. Baada ya kujifungua mimi nilikuwa nishamaliza chuo.
Mbaya zaidi akajifungua kwa operation mda wa kukaa home ndo ukazidi.
Akarudi chuo wenzie wako mwaka wa 3 yeye anaendelea na semester ya 2 mwaka wa kwanza. Mshono wa operation ulimsumbu sana.
Mimi nilisena tuu home wakanitupia maneno sana kwani wazazi wangu ni watu wa dini sana. Tukio lile lilinifanya niache kuzini kabisa.
Ila baadae nilikutana na binti mwingine. Na kumuoa .
Japo mama alinisisitiza sana muoe mama mtoto wako. Kwa sababu pale umemuaribu mtoto wa watu. Mimi wala sikujali.
Ila mzazi mwezangu yule. Tangu kamaliza chuo akipata mwanaume, akijua anamtoto jamaa anamuacha. Kila anayepata anamuacha. Baadae nikaona ngoja nimchukue mtoto nikae nae. Ili na yeye apate mtu amuoe . Ila wapi.
Mwaka juzi alipata mmoja alikubali ila alivyokuja kugundua alijifungua kwa operation akamuacha. Mara nyingine anakuwa ananilalamikia sana nimemualibia system mzima ya life yake.
Kwa sasa anaumri wa miaka 32. Rafiki zake wote tayari wameolewa ila yeye bado , mara nyingi anakuwa ni mtu wa huzuni sana , she is not happy always.
Hiki kitu mara nyingi kinaniumiza sana , maana naona kama nimemuaribia maisha binti wa watu.
Na mimi hapa home nina mtoto wa kike nafikilia na yeye akikutwa na tukio kama lile itakuwaje huwa nafikilia sana na kumuangali binti yangu huyu hapa home.
Daaa we acha .
KAMA NIMEKOSEMA UANDISHI NAOMBA RADHI.🤲🙏🙏🙏
Aisee nenda Jerusalem ukatubu hiyo dhambi Mungu atakusamehe.Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.

Mkuu hunifikii sijui natokajeNajuta siku niliyoanza kubeti
SAUT ni chuo cha kipuuzi kwa wanaume wa pale. Wanafundishana mbinu za kutongoza first year na wanashawishiana kuwapa mabinti mimba. Sio kitu cha ajabu kusikia vijana wanamshawishi mwenzao ampe mimba demu wake kisha amuache "akateseke na mtoto" baada ya huyo demu kusumbua.Wewe umesoma SAUT
hata mimi sidhani kama unanifikia. Bila haya makamari ningekua mbali sana. Mwezi huu nishagongwa karibu laki sita na haujaishaMkuu hunifikii sijui natokaje
Ila amempa changamoto ktk inshu nzima ya ndoa na mahusiano.Ukifika muda wa kuolewa ataolewa tu. Ni muda tu hajapata mtu sahihi ila atakuja
Jana nilifika 150k game za UEFA conference zikaamua kunilaza njaa, ila badoo eti nawaza nibet tena weekendhata mimi sidhani kama unanifikia. Bila haya makamari ningekua mbali sana. Mwezi huu nishagongwa karibu laki sita na haujaisha
Unaijua hot days kei inavyowasha wewe au uko hapa kuhoronya tu??Vijana wengine...be you...usikubali uendeshwe na mawazo ya watu wengine...
Huyu ndo kilimkuta...alishindwa kuishi maisha yake...peer pressure ikamsulubisha
Anyway pole sana
Wanajiongelesha tu na wao ndio wa kwanza kuwakataa single mother.Jamani hapa mnasema singo mama wanaolewa ila kuna nyuzi nyingi tu mnasema singo mama hawawezikuolewa.
sina interest na mikeka,nacheza cassinoJana nilifika 150k game za UEFA conference zikaamua kunilaza njaa, ila badoo eti nawaza nibet tena weekend
Casino nikitaka kucheza labda niwe na Capital ya kuanzia 700k+ , Ili uone return nzuri stake kubwa kubwa tuusina interest na mikeka,nacheza cassino
huo ndo uraibu wangu. Nimeacha milions kwenye gambling, nishakulaga ada kipind hichoCasino nikitaka kucheza labda niwe na Capital ya kuanzia 700k+ , Ili uone return nzuri stake kubwa kubwa tuu