Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikutana tuu na mwingine nikampenda basi. Sio kwamba alikuwa na kasolo ,No.Pole sana mkuu, ninependa kujua kwanini hukumuoa yeye mama mtoto wako wa chuo?
SijawahiTangu siku Ile ujawahi kula tunda Tena ? Kwa mzazi mwenzio
Mimi ni mkatoliki mkuuHata akimuinua kiuchumi, mwanamke akiikosa ndoa huku age mates wenzake wote wameolewa hua wanahisi kuna kitu cha muhimu sana wana miss (that's the bitter truth)..
So hata awe na uchumi mkubwa kushinda bakhresa lkn atapata mfadhaiko wa moyo na stress maisha yake yote ikiwa hajapata bwana wa kumuoa. Feminist watapinga but that's the reality.
Kwahiyo ndugu jitahidi umuoe huyo binti hata mke wa pili. Afterall ameshakuzalia so ni muendelezo tu wa familia.
Stupid 🚮🚮🚮🚮Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.
Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto ninaishi nae mimi. Kitu hiki ndo kinanifanya kuwa na majuto kitendo nilichomfanyia mama yake. Daa kinaniumiza sana sometime nawaza bora ningemuoa mama yake.
Kipindi nipo chuo mwaka wa 3 naingia. Mwaka wa kwanza ndo walikuwa wanafika chuoni. Sasa si unajua mambo ya chuo mabinti wapya kutoka form 6 ndo wanakuja. Vijana mambo ya chuo naamini mnaelewa. Sasa nikamuona binti mmoja, nikaanza kumvizia sana, nakumbuka kipindi kile na rafiki zangu tulikuwa tunagawana mabinti, mimi huyu wewe yule.
Nilizoeana nae na kuanza kumfuata ili kuanzisha mahusiano nae. Nilijitahidi kuvizia na kupeana mbinu wa friends. Wenzangu walifanikiwa baadhi hadi kuwa nao first year. Ila mimi bado ananiangaisha.
Yeye alisema issue ya mahusiano hapana labda kuwa friends kawaida tuu. Mimi nikaona poa ila bado namvizia yule dada. Japo alikuwa mgumu sana.
Siku moja chuoni night watu walikuwa wanafanya discussion. Sasa nilikuwa na yule binti night siku ile tulipiga story kadhaa. Nilipanga kusex nae anytime nitakapo pata chance.
Siku ile nilipanga leo ni leo nitafanikiwa. Nakumbuka niseme kwa kifupi tuu nilimlaghai sana kwa kumshika shika akawa anasema tuu acha. Baadae akatoka akaamua kuondoka kurudi hostel, mimi nilikuwa sikai mbali na chuoni ghetto langu ni maeneo hayo ya chuoni tuu.
Nilimshikashika mpk akasema usinishawishi kuzini mimi siitaji.
Niliendelea tu.
MWISHOWE alilainika na akajikuta anakubali , nilienda nae ghetto tukasex na alilala mpk morning.
Asubui anashituka daa nikamkuta analia sana na kunilaumu, aliondoka na kwenda hostel .
Hatukuwa karibu kama 2 weeks hivi. Baada ya wiki 3 na siku kadhaa akaniambia siku zake haziona. Mimi eeeeeee. Nilishituka sana. Kumbe siku ile alikuwa siku zake za hatari . Nikili tuu nilitake risk sikutumia condom.
Niliisi kama kuchanganyikiwa hivi nikaona au ananimbambikizia nini. Niliwaeleza wadau wakasema Katoe , mimi daaa kitu hicho sijawahi hata kufanya , nikimuangalia binti yeye namuona she is not okay muda wote mpk wenzie wanamuliza shida nini.
Nikaa kimya tuu siku zinaenda naona tumbo hilo. Baada ya miezi kama 3 hivi ujauzito ukaanza kumsumbua sana. Mpk akaanza kunilaumu mimi. Akalazimika kwenda kwao. Kwao walimzingua sana tena sana.
Alikuwa ananipigia simu huku akinilaumu kwa siku ile.
Akalazimika kusitisha chuo. Baada ya kujifungua mimi nilikuwa nishamaliza chuo.
Mbaya zaidi akajifungua kwa operation mda wa kukaa home ndo ukazidi.
Akarudi chuo wenzie wako mwaka wa 3 yeye anaendelea na semester ya 2 mwaka wa kwanza. Mshono wa operation ulimsumbu sana.
Mimi nilisena tuu home wakanitupia maneno sana kwani wazazi wangu ni watu wa dini sana. Tukio lile lilinifanya niache kuzini kabisa.
Ila baadae nilikutana na binti mwingine. Na kumuoa .
Japo mama alinisisitiza sana muoe mama mtoto wako. Kwa sababu pale umemuaribu mtoto wa watu. Mimi wala sikujali.
Ila mzazi mwezangu yule. Tangu kamaliza chuo akipata mwanaume, akijua anamtoto jamaa anamuacha. Kila anayepata anamuacha. Baadae nikaona ngoja nimchukue mtoto nikae nae. Ili na yeye apate mtu amuoe . Ila wapi.
Mwaka juzi alipata mmoja alikubali ila alivyokuja kugundua alijifungua kwa operation akamuacha. Mara nyingine anakuwa ananilalamikia sana nimemualibia system mzima ya life yake.
Kwa sasa anaumri wa miaka 32. Rafiki zake wote tayari wameolewa ila yeye bado , mara nyingi anakuwa ni mtu wa huzuni sana , she is not happy always.
Hiki kitu mara nyingi kinaniumiza sana , maana naona kama nimemuaribia maisha binti wa watu.
Na mimi hapa home nina mtoto wa kike nafikilia na yeye akikutwa na tukio kama lile itakuwaje huwa nafikilia sana na kumuangali binti yangu huyu hapa home.
Daaa we acha .
KAMA NIMEKOSEMA UANDISHI NAOMBA RADHI.🤲🙏🙏🙏
Mkuu trust me sisi wanaume asilimia kubwa , hatupendi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Sio wote.Majuto ni kawaida kwa binadamu , Wewe siye unayefanya asiolewe ! Muda wake bado au hiyo point ya yeye kuwa na mtoto ndo anaifanya kisingizio ! Wanawake wangapi wana watoto wanaolewa vizuri tu tena kwa ndoa nzuri na za kudumu!
Humu JF ndo tunadanganyana tusioe single mother tu na kundi lililo humu ni dogo sana !!
Ungelaumiwa kama hutunzi mtoto wako vizuri !! Ila hiyo issue ya mama ni yeye tu anajiwekaje!
Huyo hujamuharibia maisha badilisheni mtazamo maisha yanatoa second chance !! Kweli mlikosea wote lakini sio kitu cha kujisononesha hata kama unaogopa kuhusu karma kwa binti yako mfundishe baada ya makosa ni kunyanyuka sio kuomboleza
! Usikute ana pigo za kifeminist wahuni wakitoroka anajificha kwenye mwamvuli wa Single maza !!
Single maza wanapata mahusiano mazuri tu kama raia wengine tena hata kuliko wasio na watoto ni suala la timing tu.
Second chance inategemeana uriaribu kivipi mkuu.second chance !
Mkuu soma vizuri kasema mshono ulimsumbua mpk kupoteza muda mwingi home na sio kuolewa.mshono ndo maana haolewi
Mshono ulimsumbua kipindi yupo chuo maana alilazimika kukaa home kwa muda mpaka mwezie wapo mwaka wa tatu na yeye ndo anaingia semester 2. Mwaka wa 1.Yah kusema eti ana mtoto sijui mshono ndo maana haolewi sio kweli , aangalie tabia na mienendo yake !! Lakini sisi tunawajua single maza kibao wameolewa vizuri tu
Hilo halina shaka😁😁karma is realUkweli siku zote ni mchungu,lakini ndio uhalisia..au wewe au uzao wako will pay for this..a matter of time
Hili la kumficha mtoto ndo linamfanya wanaume waachane naye,Kipimo ulichompimia mwenzeko ndo hicho hicho utakachopimiwa.
Wazazi wako walikua sahihi kabisa kukwambia umuoe ona Sasa umemuaribia bint wa watu life kwa Dunia ya Leo Miaka 32 nani amuoe.
Ushauri wangu kwako kama upo vizuri Muombe msamaha then Muombe Mungu wako msamaha ufunge kabisa hizo Roho za malipiz kwa wanao wasije fanywa kama wewe ulivyo fanya, na jinsi unavyo fikiria ndugu ndo hivyo hivyo mambo hutokea wakati mwingine sis Binadamu huwa tunawaza mambo yatakayo tokea mbelen na tunajua Alfu tunapuuzia, so nakushauri Mawazo unayo yawaza usiyapuuzie Muombe sana Mungu wako akusamehe hiyo dhambi na isiipate familia yako pia huyo Binti Muombe msamaha,
Kingine mshauri awe mkweli,, mm nafikiri kumficha mtoto siyo chanzo Cha kupta Mme wa Kumuoa yeye apambane akipata mwanaume asimdanganye Kuwa Hana mtot Bali amwambie ukweli maisha mengine yaendelee
Kila la kher
Sema umekuwa mtu mzima hizi mambo achana nazo kabisa.Mshono ulimsumbua kipindi yupo chuo maana alilazimika kukaa home kwa muda mpaka mwezie wapo mwaka wa tatu na yeye ndo anaingia semester 2. Mwaka wa 1.
Kuhusu tabia hana tabia mbaya nilimuacha baada ya tuu ya kukutana na mwingine nikampenda si kwamba anatabia mbaya no.
Ila wanaume wanamuacha kwa sababu wanamwambia ashazaa.
Mwaka huu mwezi wa 9 anafikisha 33.
Huyo mmoja wa mwaka juzi alimuacha tuu baada ha kujua alijifungua kwa kisu.
Nafikili aliona ni risk kuwa nae sijui.
Style ya J Cohen ndio ipoje??Ndio maana mimi hupenda kufanya Caesarean Section kwa style ya J-Cohen. Sipendi kuacha kovu kwa mwanamke.
Yani akipona kidonda anakua na uwezo wa kuvaa crop top bila kovu kuonekana na hata kuogelea beach akiwa ameachia tumbo. It's good for cosmetic!
Mkuu yeye kuzaa ni 2 times tuu.Huyo mmoja wa mwaka juzi alimuacha tuu baada ha kujua alijifungua kwa kisu.
Nafikili aliona ni risk kuwa nae sijui.
Hapana mtoto Hamfichi alikuwa anakaa nae ila mimi ndo nikamchukua ili apate mtu wa kumuoa mimi niliona kama wanaume wengine wataona kama ni majukumu kulea mtoto. Nikamchukua mimi mwenyewe.Hili la kumficha mtoto ndo linamfanya wanaume waachane naye,
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app