Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Waulize wanyakyusa, ndio zao hizoHuenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80!
Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na wake zenu?
Kwangu mimi naona ni ngumu mno kunivalisha sare. Pete ya ndoa nayo nahisi nilivaa siku zisizozidi 3 nikaweka kwenye bag japo hadi sasa ipo bi mkubwa akaitunza.
Leo nimeona jamaa yangu kavaa batiki la sare na mke wake pamoja na watoto. Kwakweli nimemuuliza kuwa jamaa wewe unaweza vipi?
Akanishangaa na mimi nikamshangaa kifupi tumeshangaana wote.
Wakuu huu ujasiri ninyi mnaweza vipi wajameni?View attachment 3270594
Ukiona sare nyingi ujue mshika remote ni mtoa utamuNachekaga sana nikiona couple za hivyo, kuna wengine walishona kitambaa cha mapazia nilichoka aiseee..!! ๐น๐น
Sema huu uchizi wanao sana na walimu ๐คฃ
Sasa upendo unahusiana nini na sare za vitenge ๐๐๐Utaona li mtu Lina comment anaendeshwa na mke my dear kama ujawai penda acha wengine waenjoy na sare zao acheni makasiriko๐น๐น๐
Hala Madrid!!!Kitu Pekee tavaa Cha kufanana na Manzi yangu ni Jersey ya Real Madrid tu
Kitambaa cha mapazia? Uduguu hii hapana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nachekaga sana nikiona couple za hivyo, kuna wengine walishona kitambaa cha mapazia nilichoka aiseee..!! [emoji81][emoji81]
Sema huu uchizi wanao sana na walimu [emoji1787]
Unahusiana ndo maan tukashona sare mm siwez shona sare na limtu Sina upendo nae๐Sasa upendo unahusiana nini na sare za vitenge ๐๐๐
Manzi atupie kiatu kizuri surual nyeusi nyama zipo zipo na jersey ya Madrid imkae ๐hiyo nguvu ya kuangalia kwingine natoa wapi?Hala Madrid!!!
Kwan mkipendana mkaishia hapo tu kuna ubaya gan. Ndio yale mmeachana unaanza kuwaza hizi sare naenda kuvalia wapi? ๐คฃUnahusiana ndo maan tukashona sare mm siwez shona sare na limtu Sina upendo nae๐
M uwa nachoma moto nguo zote sitaki ukumbusho wowote wtf is memories ๐Kwan mkipendana mkaishia hapo tu kuna ubaya gan. Ndio yale mmeachana unaanza kuwaza hizi sare naenda kuvalia wapi? ๐คฃ