Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

Jibu utapata kutoka kwa wachungaji ndio hupendelea kushona hizo sare na wake zao watakwambia ni upendo kwa wake zao ndio unawafanya washone
Je wewe unaona ni sahihi mmeo kuvaa sare ya kitenge nawewe?

walokole hawajawahi kuwa na akili timamu tangu na tangu. kwahiyo wao wanajua upendo upo kwenye vitenge tu
 
Binafsi sipendi mwanaume anaye vaa mashat ya vitenge hata kwa yeye siwez ruhusu
Maana aibu huwa na ipata nikiona mwanaume yoyote amevaa kitenge
 
Kwangu mimi siwezi na haiwezekani kabisa .Hata kijana wangu wakiume siwezi mruhusu mama yake amshonee sare atamzowesha hata akioa aone kawaida tu kuvaa sare na mke wake. Ni aibu kubwa sana mwanaume kuvaa sare ya kitenge hata batiki hamna kama jezi za mpira hizo sawa
 
Kuna

Kuna moja alishona suit ya kitenge🤣🤣🤣🤣mbavu zangu ziliuma siku nzima kwa vicheko alikuwa kama panzi wa kijani
Vyama hivi jamani
 
IMG_8834.jpeg
Basi kama hamtaki vitenge hivi je?
 
Back
Top Bottom