Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

Waulize wanyakyusa, ndio zao hizo
Hamna huo ujinga kwa wakinyaki.
Hao mara nyingi wanakuwaga wagogo,wasukuma huko kwenda bukoba,
Ajira waalimu au serikalini.
Na huwa wanaanzia kupiga magoti kwa hao wanaenda kuoa.
Badae ndo wanavalishwa mibatiki.
Wakigongewa wanajinyonga.
 
Rafiki yangu msukuma kutokea SHINYANGA kashona Kama ivyo. Ila yeye kuanzia suruali Hadi tshat
 
Back
Top Bottom