Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

Nachekaga sana nikiona couple za hivyo, kuna wengine walishona kitambaa cha mapazia nilichoka aiseee..!! 😹😹

Sema huu uchizi wanao sana na walimu 🤣
Hao wa mapazia ni Simiyu hiyo sasa😁😁
Unakuta mnadani kuna mashati na gauni za mapazia zinauzwa!
 
Dunia ya Jf wote hawashonagi sare na wake zao 🤸🤸🤸🤸🤸

Sio kushona mwanamke ananunua kitenge unapeleka na shati la mumeo vipimo vitapatikana hapo..
Likiisha nampa baba nimekushonea shati yako...hawezi kulikataa
Siku isiyo na jina tutavaa tu saresare.....
 
Mbona kila siku humu tunakosoa kila mtu awe huru kufanya jambo lake bila kubaguliwa,lakini mnaanza kuonyesha ubaguzi wa wazi😀😀😀
 
hivi vitu vinaenda na fasheni ya muda fulani ikishapitwa na wakati basi atakayeshona ni maamuzi yake binafsi nilisha shona sana muda ulipopita basi nikaachana nazo japo naweza ona kitambaa cha kitenge chenye michoro mizuri nikashona shati nikavaa..... tatizo linaanza pale unaposhona na kuvaa sare pamoja
 
Back
Top Bottom