Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Sasa hii biashara kichaa yoote hii for what!?M uwa nachoma moto nguo zote sitaki ukumbusho wowote wtf is memories 💔
Ujue we mdogo angu una shida wewe 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii biashara kichaa yoote hii for what!?M uwa nachoma moto nguo zote sitaki ukumbusho wowote wtf is memories 💔
Sikupingi mkuu. huu ni ukweli kabisaa😀😀😀😀 wanasema ukiona mwanamme amevaa sare na mke wake ujue hana sauti juu ya huyo mke wake. Yeye atakachoambiwa ni ndiyo mzee.
Lakini pia wanaoongoza kuvaa sare ya vitende ni hawa wanaosali makanisa ya kilokole hapo unakuta baba mchungaji kashawapiga semina ya upendo katika ndoa.
Kisha wanafuafiwa na wasabato nao wana huo ujinga wa sare sare.
Hayo mambo hukuti kwa waislam au waroman
Walimu wa masomo ya Art wanaongozaWalimu na waimba kwaya hawana baya.
Ndio ila nauliza tuHayakuhusu babu
Kama upendo ndo uko hivyo mimi unipite mbali aseeUtaona li mtu Lina comment anaendeshwa na mke my dear kama ujawai penda acha wengine waenjoy na sare zao acheni makasiriko😹😹💔
Mkuu alinambia bado akiwa mpya kabisa ni pale tulipo pewa zawadi ya vitenge vingi sana siku ya harusi akaniambia vingine tushone sana.Nikamwambia sasa hivi umeshaanza kupata na waalimu wa kukufundisha namna ya kuniendesha sio?Kama unataka ufika mke wako asiolewe itabidi ushoneshe tu🐼
Sio kidogo shida nyingi😹😹Sasa hii biashara kichaa yoote hii for what!?
Ujue we mdogo angu una shida wewe 😂
Nikweli mkuu mzee mwarajo alikuwa na makoti ya vitenge kabisa sijui alikuwa anayashonea wapi yale makotiWaulize wanyakyusa, ndio zao hizo
Kimbia kabisa😹Kama upendo ndo uko hivyo mimi unipite mbali asee
Mbaya zaidi uwakute wote waalimu ya mke na mke wote ni waalimu na wanafundishie shule moja aseeeNachekaga sana nikiona couple za hivyo, kuna wengine walishona kitambaa cha mapazia nilichoka aiseee..!! 😹😹
Sema huu uchizi wanao sana na walimu 🤣
Mtazamo wako tu😀😀😀😀 wanasema ukiona mwanamme amevaa sare na mke wake ujue hana sauti juu ya huyo mke wake. Yeye atakachoambiwa ni ndiyo mzee.
Lakini pia wanaoongoza kuvaa sare ya vitende ni hawa wanaosali makanisa ya kilokole hapo unakuta baba mchungaji kashawapiga semina ya upendo katika ndoa.
Kisha wanafuafiwa na wasabato nao wana huo ujinga wa sare sare.
Hayo mambo hukuti kwa waislam au waroman
Na inaonekana ni mvaaji wa nguo za kushona za vitenge kama huyo kwenye avarter yako alivyo.Sio kidogo shida nyingi😹😹
Mnyakyusa gani ana huo upumbavu/ushamba?Waulize wanyakyusa, ndio zao hizo
uko sawaKitu Pekee tavaa Cha kufanana na Manzi yangu ni Jersey ya Real Madrid tu
Ni ufundi tuHuenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80!
Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na wake zenu?
Kwangu mimi naona ni ngumu mno kunivalisha sare. Pete ya ndoa nayo nahisi nilivaa siku zisizozidi 3 nikaweka kwenye bag japo hadi sasa ipo bi mkubwa akaitunza.
Leo nimeona jamaa yangu kavaa batiki la sare na mke wake pamoja na watoto. Kwakweli nimemuuliza kuwa jamaa wewe unaweza vipi?
Akanishangaa na mimi nikamshangaa kifupi tumeshangaana wote.
Wakuu huu ujasiri ninyi mnaweza vipi wajameni?View attachment 3270594
Mkuu kitenge wengine batikiKitenge?! Hapana kwa kweli
Mimi sijawahi japo aliwahi niambia nilimfokea hadi waleo hajawahi rudia kunambiaDaaah yaani hata mm kuvaa sare na mwanamke wangu siku hiyo nitakua sijiamini kabisaa!!!