Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #61
Hao ni otimbi na timbilioView attachment 3270690Basi kama hamtaki vitenge hivi je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni otimbi na timbilioView attachment 3270690Basi kama hamtaki vitenge hivi je?
Hao wa mapazia ni Simiyu hiyo sasa😁😁Nachekaga sana nikiona couple za hivyo, kuna wengine walishona kitambaa cha mapazia nilichoka aiseee..!! 😹😹
Sema huu uchizi wanao sana na walimu 🤣
Ni mtazamo tuMwanamke akishavaa jezi yoyote namuona malaya .
Simiyu 😹😹😹Hao wa mapazia ni Simiyu hiyo sasa😁😁
Unakuta mnadani kuna mashati na gauni za mapazia zinauzwa!
Kweli tena hawajali wanatuona wengine km hatujui mahaba 😹😹😹Kitambaa cha mapazia? Uduguu hii hapana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
😹😹Ukiona sare nyingi ujue mshika remote ni mtoa utamu
Mwenye kukanusha aje hapa nimtajie na location, tuukate mzizi wa fitina.Simiyu 😹😹😹
Unatafuta ugomvi na kina Ngosha..!!
Mnatusingizia. Waulizwe Wasukuma wa Town na Wachagga.Waulize wanyakyusa, ndio zao hizo