Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

Sikupingi mkuu. huu ni ukweli kabisaa
 
Kama unataka ufika mke wako asiolewe itabidi ushoneshe tu🐼
Mkuu alinambia bado akiwa mpya kabisa ni pale tulipo pewa zawadi ya vitenge vingi sana siku ya harusi akaniambia vingine tushone sana.Nikamwambia sasa hivi umeshaanza kupata na waalimu wa kukufundisha namna ya kuniendesha sio?
 
Mtazamo wako tu
 
Ni ufundi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…