Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 15, 2025 #81 Upendo
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Mar 15, 2025 #82 Sangamwalogesha said: Waulize wanyakyusa, ndio zao hizo Click to expand... Hamna huo ujinga kwa wakinyaki. Hao mara nyingi wanakuwaga wagogo,wasukuma huko kwenda bukoba, Ajira waalimu au serikalini. Na huwa wanaanzia kupiga magoti kwa hao wanaenda kuoa. Badae ndo wanavalishwa mibatiki. Wakigongewa wanajinyonga.
Sangamwalogesha said: Waulize wanyakyusa, ndio zao hizo Click to expand... Hamna huo ujinga kwa wakinyaki. Hao mara nyingi wanakuwaga wagogo,wasukuma huko kwenda bukoba, Ajira waalimu au serikalini. Na huwa wanaanzia kupiga magoti kwa hao wanaenda kuoa. Badae ndo wanavalishwa mibatiki. Wakigongewa wanajinyonga.
geesten66 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 2,042 Reaction score 2,370 Mar 15, 2025 #83 Rafiki yangu msukuma kutokea SHINYANGA kashona Kama ivyo. Ila yeye kuanzia suruali Hadi tshat