WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Inakuwa ilishapangwa! Kinachotokea ni mtu tuu anakufanyia ushenzi, sababu ya kufanya hivyo inakuwa ni akili yake tuu.

Kiongozi, Seran anachomaanisha, hawezitolewa out kizembezembe bila mpangilio na mtu asiyejuana nae. Kwa maana hiyo, hakuna huyo mtu atamtoa out akamfanyie huo ujangili wa kumtelekezea bill.

Ndio maana anasema, kama mazingira hayaelewi, lazima yeye mwenyewe awe kamili.
 
Kuombaomba pesa.
 
Ndizi mzuzu😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…