WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

1. Kausha damu

2. Mchafu

3. Majivuno, wale wenye kona kona nyingi

4. Mfupi

5. Mwenye matiti makubwa na minyama uzembe
 
🤣🤣bado dada, mpaka sasa vya msingi
1. Uchafu
2. Kiburi, na dharau
3. Asiye msiri
4. Imani za kishirikina
Uko na peni na karatasi unachukua notes🤣

Ukute huyo anaekemea uchafu anatype huku raba zinavunda...

Anaekemea kiburi na dharau ndio mababe ukimjibu kidogo tu anakuwasha Kofi
Ngoja niendelee kusoma.
 
ni kweli upo sahihi,,, wapo wanaowapenda vibya mno, nadhani ni machguo ya muhusika
 
Uko na peni na karatasi unachukua notes🤣

Ukute huyo anaekemea uchafu anatype huku raba zinavunda...

Anaekemea kiburi na dharau ndio mababe ukimjibu kidogo tu anakuwasha Kofi
Ngoja niendelee kusoma.
Kwa kweli usafi uwe kwa wote.. Ndiyo maana kama mwanaume pia uwe msafi wa kawaida tu inatosha..

Boksa za kubadili ziwepo za kutosha, manukato kiasi (ya kiume lakini), nyota Nywele na ndevu kwa mtindo wa kupendeza, na kama unafuga basi zitunze vema..

Ila hata wanaume nasi usifuge sana vuzi au nywele za kwapa..
Mfano binafsi nywele za kwapa Huwa siachi hata kidogo Kila week nanyoa..
 
Kuna dada mmoja wa heshima tu hawa corporate ladies, katika purukushani nikaona kwapa likiwa na hayo mavitu gani sijui. Nilishindwa kula hiyo siku
Sasa Kuna mawili ulitakiwa kufanya kimojawapo..


1. Kama mnataniana na kufahamiana ungemwambia wewe mwenyewe (Only kama mnafahamiana na anaweza kukuelewa ukimwambia)
2. Au umwambie mwenzake wa like amwambie hiyo ishu

Binafsi nishawahi mwambia Mwanamke mmoja hivi, .. Anyway alinielewa, na Kuna siku alinitunuku.. Tuishie hapa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…