Utajua tu Hilo kabila linabeba mikoa mingapi 2025.Hapakuwa na ukanda Bali ukabila wa Kabila moja
Hangaya mwenyewe anajua hili,ndo maana kaenda huko Mara nyingi kuliko mkoa wowote bara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua tu Hilo kabila linabeba mikoa mingapi 2025.Hapakuwa na ukanda Bali ukabila wa Kabila moja
Kadanganye watoto, mtemi Hangaya angeshatokea ili awafurahishe waliozitoa.Endelea kujidanganya, J&J zilishaisha zamani sanaa
Hao wanaosafiri kwenda nje,ni wangapi kati ya watanzania wangapi?Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
Daah hahahhaha..nikiangaliaga kuhusu barakoa watu wamesahau kabisaTanzania imegoma kuchanjwa na kuvaa barakoa jiulize Nani aliwaambia?
Amebakia Hangaya tu na wanaokula mezani pake.Daah hahahhaha..nikiangaliaga kuhusu barakoa watu wamesahau kabisa
Hapa kwa hili unalosema tumsifu Rais Samia, Kikwete na Mzee Mwinyi enzi zao kidogo demokrasia ilikuwepo. Lakini kwa wakatoliki Nyerere, Mkapa na Magufuli kuwakosoa ilikuwa hatari kupita hatari.Mkuu CCM iina demokrasia ya kutosha. Ingekuwa ni huko kwa wachaga tena unaepinga siyo mchana cha moto ungekiona.
Ufahamu wako kwenye haya mambo uko chini sana. Kama watalii hawaji, ndege haziji, wazungu wamejifungia lockdown, hakuna uzalishaji huko Ulaya na Marekani, hakuna masoko ya kuuza Mahindi yetu, korosho, madini, nk na wakati huohuo wananchi wetu Wanahitaji huduma za elimu, afya umeme, ulinzi, nk utafanya nini? Hivi unaweza kuwaambia askari subirini mtalipwa mishahara hali ya kiuchumi ikitengemaa?Ndo uwezo wako wa ufahamu umeishia hapo?
Kwani Corona imeingia mwaka huu?
Au hujui nchi iliingia uchumi wa Kati wakati Corona ikiwa imepamba Moto dunia ikiwa imejifungia kwa mwaka mzima?
Au tozo la luku ni Bei ya umeme kupanda duniani?🤣🤣🤣🤣
Unahitaji wasimamizi safi wa uchaguzi kushinda uchaguzi sio wapigakura safi sijui kabila gani huko, wewe mbona unakuwa kama mgeni wa nchi hii.Utajua tu Hilo kabila linabeba mikoa mingapi 2025.
Hangaya mwenyewe anajua hili,ndo maana kaenda huko Mara nyingi kuliko mkoa wowote bara.
Anawaacha wajikaange na mafuta yao yenyewe mwisho wao upo karibu watakukuta hakuna wa kuwateteaPolepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais.
Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya.
Sasa hivi wanapinga uwamuzi wa mama Samia wa kuisafisha miji, eti miji isisafishwe eti kuwatetea wavamizi na wachafuzi wa maeneo wasiondolewe mitaani.
Kwenye awamu ya Tano hawakuwa hivyo hata kidogo, kule barabara ya ubungo kimara maelelfu ya watu wakiwemo wamachinga waliondolewa kinyama kabisa kupisha upanuzi wa barabara tena walivunjia hata kule ambako barabara haitafika lakini Polepole na Musukuma hawakunyanyua midomo Yao hata millimeter moja kupinga na kutetea.
Leo hii eti miji isisafishwe ili watembea kwa miguu wawatunze wamachinga kwa kuwaachia njia zao za kukwepea magari kuepuka ajali. Kwa akili za Polepole na Musukuma wamachinga Wana haki kuliko watanzania waliozibiwa njia zao za kutembelea na kuchafuliwa mazingira yao.
Hizi ni Chuki za wazi ambazo ni kiongozi mkomavu TU ndiye anaeweza kuzivumilia.
Wamachinga ni sehemu ya jamii yetu, hawako pale kwa msingi ya dini, kabila Wala mkoa. Ni WA dini zote, makabila yote na kutoka mikoa yote ya bara na visiwani, hakuna mwenye Chuki nao binafsi, lakini huwezi kuchukua haki za watanzania wengine ukawapa wamachinga eti kwakuwa wanatafuta riziki. Lazima tuanzie pahala katika kutatua kero za makundi yote bila upendeleo.
Polepole na Musukuma hawatoi njia mbadala ya kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu, mitaro iliyozibwa, vibanda vya wamachinga wanamokimbilia vibaka kukwepa kukamatwa wanapowaibia watanzania wenzao au maji yanaotuama na kufurika nyakati za mvua kwa njia za maji kuzibwa.
Hizi ni siasa uchwara kabisa, Maana haki yako lazima ikomee pale inapoanza haki ya mwenzio. Kwanini haki ya mmachinga isikomee pale haki ya mtembea kwa miguu inapoanzia?
Heshima ni kujiheshimu, Mama Samia kaletwa na Mungu kwetu hakupiga kampeni ya kuwa Rais, kila mtu analifahamu hilo, tumheshimu, wacha atengeneze pale wenzake waliposhindwa. Mama Samia ni mwanamke, na tabia ya akinamama ni usafi, Wacha asafishe maana hakuna sheria yoyote anayokiuka kwa kuwaondoa, huwezi kuendesha nchi kwakutumia moyo badala ya akili/ubongo.
Rais Samia atapigiwa kura za kishindo na wale watanzania ambao:
1. Wanaopenda utaratibu kwenye kila jambo.
2. Wanaopenda uhuru wa kutoa mawazo bila kubugudhiwa.
3. Wanaoamini kwenye haki za binadamu bila kujali jinsia yake.
4 wanaopenda usafi na miji safi
5. Unaopenda utawala wa sheria.
6. Wanaopenda kuona mihili yote inafanyakazi kazi zake bila kuingiliwa.
Kwani CCM inategemea sanduku la kura?Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.
Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.
Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
ukimaliza kunengua utuambie hiyo demokrasia ilianza lini humo fisiemu? Ukimkumbuka Kolimba hutosahau ya Bashiru na Nape.Mkuu CCM iina demokrasia ya kutosha. Ingekuwa ni huko kwa wachaga tena unaepinga siyo mchana cha moto ungekiona.
Hao ndio ccm wachumia matumbo. Najiuliza tu "hii nchi ina undumilakuwili wa aina gani?" hayo maneno waliyokuwa wakibwata kina Polepole, Msukuma na Gwajiboy yangelitamkwa na mtu asiye CCM leo mtu huyo angekuwa na kesi ya ugaidi kama sio uhujumu uchumi! Watu walipimwa mkojo!! Watu wakaitwa wachochezi na leo hii kuna watu tuliaminishwa ni magaidi mambo yametibuka kumbe ni UONGO!!"Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu."
😁😁
"Walipinga chanjo weeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya."
😁😁
Hiiiiii bagosha!
Hao ndio ccm wachumia matumbo. Najiuliza tu "hii nchi ina undumilakuwili wa aina gani?" hayo maneno waliyokuwa wakibwata kina Polepole, Msukuma na Gwajiboy yangelitamkwa na mtu asiye CCM leo mtu huyo angekuwa na kesi ya ugaidi kama sio uhujumu uchumi! Watu walipimwa mkojo!! Watu wakaitwa wachochezi na leo hii kuna watu tuliaminishwa ni magaidi mambo yametibuka kumbe ni UONGO!!
Wewe kavulana kweli kwahiyo unavyomuona Hangaya na libarakoa kubwa ni kwa sababu Kuna Corona ya kutisha Tanzania?Kama watu hawazitaki wasingeleta nyingine tena.
Kama watu hawazitaki wasingeleta nyingine tena.
Wewe kavulana 😂😂😂Unahitaji wasimamizi safi wa uchaguzi kushinda uchaguzi sio wapigakura safi sijui kabila gani huko, wewe mbona unakuwa kama mgeni wa nchi hii.
Wapinzani walipokuwa wanataka Katiba mpya ambayo Rais amepunguziwa nguvu akina Polepole na Musukuma wakidhani ni kwaajili ya wapinzani tu. Sasa hivi wanaanza kumtisha Mama eti wamachinga watamnyima kura Mama 2025 kama atawaondoa kupisha njia za waendao kwa miguu na kuacha kuuza nyanya chini kwenye vumbi na tope. Wamesahau kuwa Rais wetu ndiye pia mwenyekiti wa Chama chetu tawala, wanasahau kuwa Rais anamteua na kumfukuza kila mtu nchini, wanasahau kuwa Rais ndiye Amirijeshi wetu mkuu.Anawaacha wajikaange na mafuta yao yenyewe mwisho wao upo karibu watakukuta hakuna wa kuwatetea
Ongezea pia na wanaopenda TOZO, na wanaopenda mfumuko wa bei, pia wanaopenda ufisadi ndio watakaompa kura.Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais.