Wanavyofanya Musukuma na Polepole ni ushahidi wa ukomavu wa Rais Samia kisiasa

Wewe kavulana kweli kwahiyo unavyomuona Hangaya na libarakoa kubwa ni kwa sababu Kuna Corona ya kutisha Tanzania?
Wenzio walikuwa wanawinda

1.3trilion
Si tumezioata na sie lakini? Nchi zote zilishapata isipokuwa sisi tu kwa uzembe wetu, kwanini? Na sisi tumezioata sasa kazi iendelee, kule Zanzibar zimeenda 400bil kuchachamua uchumi na Bara zipo teele.
 
Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.

Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.

Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
Watanzania gani waliyoigomea. Acha uzushi na kama huna shule ya chanjo uliza usaidiwe
 
Ongezea pia na wanaopenda TOZO, na wanaopenda mfumuko wa bei, pia wanaopenda ufisadi ndio watakaompa kura.
Bila ya kuongeza tozo my friend nchi it ngekwama kaaabisa. Hazina ilikaushwa na JPM, hakukuwa na kitu hakiyamama nakwambia. Bila ujanja huu wa Mh. Mwigulu nchi ingesimama. JPM ilifikia hatua baba wa watu anyang'anye hela za watu kwa nguvu bila majadiliano. Inawezekana akina Sabaya walikuwa wanasema kweli kuwa walitumwa. Bahati yake mbaya ni kwamba alikosa ushahidi wa maandishi au hata wa sauti kuhusu maagizo yote aliyopewa.

Binafsi binafsi binafsi Mimi kavulata nniamuomba Rais wetu mpendwa na msikivu na critical thinker Mama Samia ampunguzie adhabu Sabaya, kwakuwa Kuna kila dalili kuwa serikali ilikuwa inafahamu alichokuwa anakifanya Sabaya lakini haikuchukua hatua kumuonya Wala kumkataza.
 
Watanzania gani waliyoigomea. Acha uzushi na kama huna shule ya chanjo uliza usaidiwe
Haya nisaidie wewe mwenye shule ya chanjo.
1.Watanzania ni 60m.waliochanjwa hawafiki 1m.zoezi lina miezi 3.kama zoezi hili lingeungwa mkono na watu,CCM pekee wangezimaliza ndani ya siku moja,maana wako 8m.

Sasa nieleze jinsi zilivyokubalika mtaalamu.
 
Usisahau Kanda ile mawaziri wa Kanda ile ndo Sasa wanaongoza kwa kutumbuliwa ili kuondoa masalia.
Hii niliiona mapema sana...
👇🏾

Hii niliiona mapema sana...
👇🏾

Ni kweli kabisa.
 
Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.

Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.

Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
Aliyekudanganya tunategemea kura zenu nani?
Naona genge lenu linataka kuwehuka
 
Haya nisaidie wewe mwenye shule ya chanjo.
1.Watanzania ni 60m.waliochanjwa hawafiki 1m.zoezi lina miezi 3.kama zoezi hili lingeungwa mkono na watu,CCM pekee wangezimaliza ndani ya siku moja,maana wako 8m.

Sasa nieleze jinsi zilivyokubalika mtaalamu.
sipendi kutumia lugha nguvu sana, lakini itoshe tu kusema zile chanjo zilichukua mda mrefu kidogo baada serikali kuwakatalia watu wenye akili nyingi kutaka kuzimaliza siku hiyohiyo. Siku ya kwanza tu baada ya ufunguzi ilionekana misululu mirefu sana ya watu wenye upeo kutaka kuchanja. bahati mbaya au nzuri serikali ikatoa maagizo kwamba ambao sio watanzania wasipewe chanjo hizi za msaada kwa watanzania. Hivyo wale watanzania wenye akili nyingi sana walipanga misululu mirefu kupatiwa chanjo, hivyo zikabaki zile ambazo zilipelekwa mikoani walikozaliwa akina gwajiboy ambako hata leo wamekataa kutumia hata vyoo sembuse chanjo ambayo kijana wao msomi Gwajima wanaemwamini anawaambia kuwa ameoteshwa kuwa chanjo zitawageuza kuwa mazombie. Nakuhakikishia mpaka sasa unaweza kuwa na sh.1,000,000 na usipate chanjo kwa urahisi kama vile. Na hii ni baada ya watu kuwapuuza wapiga lamli na kuwaamini wale waliopata chanjo na wako salama usalimini mitaani wanaishi nao na kunywa nao wisky.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kawasimulie wavulana wenzio kijiweni huo utumbo.
 
Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
Alikudanganya ni muongo. Watu mbona wanasafiri tu bila chanjo?
 
Tulia hujui kitu. Mtu hujui hata ticket ya ndege inavyonunuliwa.
Najua unaongelea tiketi za fastjet, air Tanzania, precion air na asalam air kwenda Dodoma na Zanzibar, hizo hata bila chanjo utapanda TU, lakini kwenye ndege za wajanja kama Gulf, Delta, Emirates, Lufthansa,nk hutii pua
 
unaongea vitu gani hadi sahivi nina yikect ya lufthansa
 
1636541549854.png

1636541654314.png
 
Najua unaongelea tiketi za fastjet, air Tanzania, precion air na asalam air kwenda Dodoma na Zanzibar, hizo hata bila chanjo utapanda TU, lakini kwenye ndege za wajanja kama Gulf, Delta, Emirates, Lufthansa,nk hutii pua
Mzee wa kusikia kijiweni sema neno hapo juu
 
Back
Top Bottom