Si tumezioata na sie lakini? Nchi zote zilishapata isipokuwa sisi tu kwa uzembe wetu, kwanini? Na sisi tumezioata sasa kazi iendelee, kule Zanzibar zimeenda 400bil kuchachamua uchumi na Bara zipo teele.Wewe kavulana kweli kwahiyo unavyomuona Hangaya na libarakoa kubwa ni kwa sababu Kuna Corona ya kutisha Tanzania?
Wenzio walikuwa wanawinda
1.3trilion
Watanzania gani waliyoigomea. Acha uzushi na kama huna shule ya chanjo uliza usaidiweHahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.
Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.
Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
CCMAliyemtolea bastola Nape alijulikana ni nani?
Bila ya kuongeza tozo my friend nchi it ngekwama kaaabisa. Hazina ilikaushwa na JPM, hakukuwa na kitu hakiyamama nakwambia. Bila ujanja huu wa Mh. Mwigulu nchi ingesimama. JPM ilifikia hatua baba wa watu anyang'anye hela za watu kwa nguvu bila majadiliano. Inawezekana akina Sabaya walikuwa wanasema kweli kuwa walitumwa. Bahati yake mbaya ni kwamba alikosa ushahidi wa maandishi au hata wa sauti kuhusu maagizo yote aliyopewa.Ongezea pia na wanaopenda TOZO, na wanaopenda mfumuko wa bei, pia wanaopenda ufisadi ndio watakaompa kura.
Haya nisaidie wewe mwenye shule ya chanjo.Watanzania gani waliyoigomea. Acha uzushi na kama huna shule ya chanjo uliza usaidiwe
Hii niliiona mapema sana...Usisahau Kanda ile mawaziri wa Kanda ile ndo Sasa wanaongoza kwa kutumbuliwa ili kuondoa masalia.
Ni kweli kabisa.Hii niliiona mapema sana...
👇🏾
Kuelekea 2025: Kanda ya Ziwa Msibemendwe kwa hila
Amani kwako. Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda ya ziwa mmesikia sauti zinaanza kusikika na si kwa bahati mbaya ni ishara kuelekea 2025. Kanda ya...www.jamiiforums.com
Aliyekudanganya tunategemea kura zenu nani?Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.
Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.
Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
sipendi kutumia lugha nguvu sana, lakini itoshe tu kusema zile chanjo zilichukua mda mrefu kidogo baada serikali kuwakatalia watu wenye akili nyingi kutaka kuzimaliza siku hiyohiyo. Siku ya kwanza tu baada ya ufunguzi ilionekana misululu mirefu sana ya watu wenye upeo kutaka kuchanja. bahati mbaya au nzuri serikali ikatoa maagizo kwamba ambao sio watanzania wasipewe chanjo hizi za msaada kwa watanzania. Hivyo wale watanzania wenye akili nyingi sana walipanga misululu mirefu kupatiwa chanjo, hivyo zikabaki zile ambazo zilipelekwa mikoani walikozaliwa akina gwajiboy ambako hata leo wamekataa kutumia hata vyoo sembuse chanjo ambayo kijana wao msomi Gwajima wanaemwamini anawaambia kuwa ameoteshwa kuwa chanjo zitawageuza kuwa mazombie. Nakuhakikishia mpaka sasa unaweza kuwa na sh.1,000,000 na usipate chanjo kwa urahisi kama vile. Na hii ni baada ya watu kuwapuuza wapiga lamli na kuwaamini wale waliopata chanjo na wako salama usalimini mitaani wanaishi nao na kunywa nao wisky.Haya nisaidie wewe mwenye shule ya chanjo.
1.Watanzania ni 60m.waliochanjwa hawafiki 1m.zoezi lina miezi 3.kama zoezi hili lingeungwa mkono na watu,CCM pekee wangezimaliza ndani ya siku moja,maana wako 8m.
Sasa nieleze jinsi zilivyokubalika mtaalamu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sipendi kutumia lugha nguvu sana, lakini itoshe tu kusema zile chanjo zilichukua mda mrefu kidogo baada serikali kuwakatalia watu wenye akili nyingi kutaka kuzimaliza siku hiyohiyo. Siku ya kwanza tu baada ya ufunguzi ilionekana misululu mirefu sana ya watu wenye upeo kutaka kuchanja. bahati mbaya au nzuri serikali ikatoa maagizo kwamba ambao sio watanzania wasipewe chanjo hizi za msaada kwa watanzania. Hivyo wale watanzania wenye akili nyingi sana walipanga misululu mirefu kupatiwa chanjo, hivyo zikabaki zile ambazo zilipelekwa mikoani walikozaliwa akina gwajiboy ambako hata leo wamekataa kutumia hata vyoo sembuse chanjo ambayo kijana wao msomi Gwajima wanaemwamini anawaambia kuwa ameoteshwa kuwa chanjo zitawageuza kuwa mazombie. Nakuhakikishia mpaka sasa unaweza kuwa na sh.1,000,000 na usipate chanjo kwa urahisi kama vile. Na hii ni baada ya watu kuwapuuza wapiga lamli na kuwaamini wale waliopata chanjo na wako salama usalimini mitaani wanaishi nao na kunywa nao wisky.
Yajayo yanafurahisha.Aliyekudanganya tunategemea kura zenu nani?
Naona genge lenu linataka kuwehuka
Alikudanganya ni muongo. Watu mbona wanasafiri tu bila chanjo?Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
Tulia hujui kitu. Mtu hujui hata ticket ya ndege inavyonunuliwa.Wanasafiri kwenda wapi? Kama unakwenda ngokolo huhitaji chanjo
Najua unaongelea tiketi za fastjet, air Tanzania, precion air na asalam air kwenda Dodoma na Zanzibar, hizo hata bila chanjo utapanda TU, lakini kwenye ndege za wajanja kama Gulf, Delta, Emirates, Lufthansa,nk hutii puaTulia hujui kitu. Mtu hujui hata ticket ya ndege inavyonunuliwa.
unaongea vitu gani hadi sahivi nina yikect ya lufthansaNajua unaongelea tiketi za fastjet, air Tanzania, precion air na asalam air kwenda Dodoma na Zanzibar, hizo hata bila chanjo utapanda TU, lakini kwenye ndege za wajanja kama Gulf, Delta, Emirates, Lufthansa,nk hutii pua
Mzee wa kusikia kijiweni sema neno hapo juuNajua unaongelea tiketi za fastjet, air Tanzania, precion air na asalam air kwenda Dodoma na Zanzibar, hizo hata bila chanjo utapanda TU, lakini kwenye ndege za wajanja kama Gulf, Delta, Emirates, Lufthansa,nk hutii pua