Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

Hii ni habari njema sana kwa wenye matatizo ya uzazi. Nakitakia mafanikio mema kituo hicho!
 
Mkuu; Baba wa mtoto atafahamika kwani katika mfumo wa uchukuaji mbegu(Sperm-donor) na Upandikizaji kumbukumbu hutunzwa. Mtindo huu kwa upande wa wanyama/mifugo unaitwa Uhimilishaji (Artificial Insemination).
Tatizo ninaloliona kwa binadamu ni kwa Wanaume Inferior watakuwa eliminated i.e. hawatapata fursa ya kuzaa au kuendeleza kizazi chao kwani vinasaba visivyotakiwa (inferior Traits) hazitakiwi.
Kwa wasiyo na mume, ina maana wanaponunua sperm madaktari wanaeleza 'haya mayai mwenyewe anaitwa 1234Y anaishi Y4321 na namba yake ya simu hii hapa 12Y34?.'
 
Mkuu; Atakayeudhika kwa maamuzi yako ww binafsi atakuwa ana lake jambo.
Hoja yangu kwako ni hii: Je, hao watoto wako uliopata naturally kupitia mke wako unauhakika 100% ni wewe uliyepandikiza?? Wahenga wanatutanabahisha kwamba anayemjua baba wa mtoto kwa uhakika ni Mama. Ndiyo maana Wahenga waliweka msemo "kitanda hakizai haramu" kwa lengo la kuepusha udadisi-dadisi kwa Wake zetu na kuepusha Migogoro mingi katika ndoa zetu na watoto watakaozaliwa baina yenu wanandoa wapate matunzo.
Samahani lakini kama nitakuwa nimekuudhi.
wote wa kwangu, tunafanana copyright. though kuna mmoja wa nje ambaye tunafanana nusu, nina mpango wa kupiga DNA. na hata akitokea kuwa sio wangu, nimeshampenda, nitamtunza hadi atakapokuja kuamua yeye mwenyewe niendelee kuwa babake au la, kwasababu upendo wake kwangu ni mkuuu na ananiita baba.
 
wote wa kwangu, tunafanana copyright. though kuna mmoja wa nje ambaye tunafanana nusu, nina mpango wa kupiga DNA. na hata akitokea kuwa sio wangu, nimeshampenda, nitamtunza hadi atakapokuja kuamua yeye mwenyewe niendelee kuwa babake au la, kwasababu upendo wake kwangu ni mkuuu na ananiita baba.


Sasa uweke akiba ya maneno!

Maana isije ikaja tokea kwa wanao ikija kuwa mtihani mkubwa!

Mwenyezi Mungu atuhurumie na kutuepusha na magumu!
 
kupitia mke wako unauhakika 100% ni wewe uliyepandikiza??
Yeah Kweli kabisa, Mwenye Uhakika 100% ni mama! Mara nyingi sie tumekuwa tunaenda kwa Imani tu kwamba mtoto ni wako ila in real sense hata tukisema Mke wako amseti mtu then upewe taarifa kuhusu kuwa kuna uwezekano kwamba Huyo dogo sio wako/ AM shure utaanza kuamini hata kama si kweli.
 
wote wa kwangu, tunafanana copyright
Mkuu Wife wako akiamua atest mitambo tu kwa kutumia hata rafiki yako wa karibu, labda kuonyesha mawasiliano fake kuhusu Watoto sio wako; Uwe na hakika kuna namna utaanza kufuatilia kujua whats Happen ili upate taarifa,Sidhani kama utakaa tu uendelee kujiaminisha kwamba ni wako kisa mnafanana. Tena unaweza kuanza kuona kasoro fulani kwenye kufanana kwenu hiyo yote ni kwa sababu umepata taarifa inayokinzana na unavyoamini. Hiyo inaonyesha haukuwa sure kiviile.
 
Nini kimefanya wenyewe washindwe kupandikiza na Arusha ni baridi? Au nao wameambukizwa udhaifu toka Namanga na Taveta
Ukiacha ulevi wa pombe na sigara sababu ya baridi, kule ndo mirungi na bange vinalimwa kwa wingi!
 
Wanaotaka huduma ya kubebewa mimba jamani (surrogacy) , kizazi kipo available. Inbox me. 😬 No seriously, isn't surrogacy a thing yet in Tz??
Hapo ni mwanamke anayeogopa kubeba, labda sababu ya umri, akukodi wewe.. good idea!
 
Changamkia fulsa kajiru kanyika
 
Huyo mtoto ubini wake ni nani..??
Je mwanamke bikra anaweza pandikizwa na akazaa wakati ametunza bikra yake..??
Alafu huu ujinga utasababisha wanawake wawe na kibri sana, kwamba anaweza kupata mtoto hata bila kupigwa miti...😎
Mbegu atapata wapi!!?...mbegu zangu sitoi bila mikito!!!
 
Back
Top Bottom