Wanawake acheni hii tabia mara moja

Hii single malt ni nzuri mnooo kwakweli
Kutana na triple distilled mkuu🙆‍♀️ni shida.nikijisikiaga kunywa hii miongozo basi huyu masta anakuwaga wa kwanza.

Kuna huyu mnyama pia.huyu jamaa ni mgumu kiaina ila huwa ninampenda Kwa sababu ya harufu😋😋😋

 
Demu akishakua mlevi tu huwa kuna bolt zinalegea kichwani, huwezi kumkuta Dem ambae siyo mlevi kaenda kukaa sehem ya starehe na hana hela ya kujihudumia kwenda kuombaomba na kutega wanaume
Kwenye huu mwandiko kuna hoja tatu ujue mkuu Lucha

1.mwanamke mlevi asiyeweza kujihudumia mwenyewe

2.mwanamke mwenye kuweza kujihudumia mwenyewe ulevini (so mwanamke mlevi Inaelekea hupatani nae)

3.mwanamke asiyekunywa pombe.

Huu ni mtazamo lakini
 
🫡🫡🫡🫡🫡
 
Sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…