Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ndio matumizi ya hela🚶Ndio, hapo utajikuta na hela ya uber unampea kiroho safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio matumizi ya hela🚶Ndio, hapo utajikuta na hela ya uber unampea kiroho safi
Kutana na triple distilled mkuu🙆♀️ni shida.nikijisikiaga kunywa hii miongozo basi huyu masta anakuwaga wa kwanza.Hii single malt ni nzuri mnooo kwakweli
Tuko pamoja chiefAhhah ahahah sawa dada heshima kwako
Mada za kuwananga wanawake zimekuwa mob...watoa mada wengine kama wanawake tuUmeamua kumtolea uvivu
Nzuri baba…habari yako na wewe..waendeleaje hukoHabari yako mama?
Ah wapMimi huwa nalopoka kuchanga msha genge tu 😂😂😂 bhna
Kwenye huu mwandiko kuna hoja tatu ujue mkuu LuchaDemu akishakua mlevi tu huwa kuna bolt zinalegea kichwani, huwezi kumkuta Dem ambae siyo mlevi kaenda kukaa sehem ya starehe na hana hela ya kujihudumia kwenda kuombaomba na kutega wanaume
Mdogo angu nakusalimia 🤓🤓Ahahhah na serengeti lite siyo? 😂😂
Acha ugumu mkuu uwe unawaongezea kinywaji 😃😃😃Ukimwambia agiza ana change kinywaji una shangaa kaagiza martine rose wine au four cousin
KabisaMwingine anakua ana stress..anaamua kujipumzisha na kinywaji kwa masaa mengi ..! Kwanza mwanamke anayekunywa bia taratibu ana ustaarabu( anajibrand) sana kuliko anayepiga mitarumbeta...mijicho juu juu hatulii
Mbezi beach nafikiriJuliana ipo pande zipi nije kukuunga mkono
🫡🫡🫡🫡🫡Savanna, desperado, flying fish, na hizo light waweke kundi moja, lakini macalan ukikuta mwanamke yupo nayo mezani ujue kabisa hajatokea tandahimba siku hiyo , hapo ukiona anasimu na anaperuz jua anaangalia mipango ya conference za kibiashara na masoko ya mboga mboga ulaya, huyo hapepesi wala kugeukageuka hovyo ili aitwe
Salama kabisa vipi huko dear?Nzuri baba…habari yako na wewe..waendeleaje huko
Huku ni Kwema sana ninazidi kuiona rehema ya Mungu kila wakati.Salama kabisa vipi huko dear?
SijakuelewaKwenye huu mwandiko kuna hoja tatu ujue mkuu Lucha
1.mwanamke mlevi asiyeweza kujihudumia mwenyewe
2.mwanamke mwenye kuweza kujihudumia mwenyewe ulevini (so mwanamke mlevi Inaelekea hupatani nae)
3.mwanamke asiyekunywa pombe.
Huu ni mtazamo lakini
Ni vyema sana tushukuru kwa ukuu wake kwenye hilo.Huku ni Kwema sana ninazidi kuiona rehema ya Mungu kila wakati.
Nimefurahi kukuona
😊😊Ni vyema sana tushukuru kwa ukuu wake kwenye hilo.
Nimefurahi pia kukuona, ni muda tumepotezana 😍
Ndio maisha nasisi tujibane humo humo 🥰😊😊
Mambo yalikuwa yamebanana kiaina ndugu yangu ndio maana