Wanawake acheni hii tabia mara moja

Shida ni kuzipata original maana pombe nyingi maarufu bongo watu wanafetua feki mnooo.... unless uende exclusive places ndio utapata vitu original . Watu wanaua Figo za watu mnooo.
 
Shida ni kuzipata original maana pombe nyingi maarufu bongo watu wanafetua feki mnooo.... unless uende exclusive places ndio utapata vitu original . Watu wanaua Figo za watu mnooo.
Very sadπŸ’”πŸ’”πŸ’”
Ukiwa Dar unajiendea zako Mohans.huko nako kama kuna uchakachushaji basi kwisha habari
 
Very sadπŸ’”πŸ’”πŸ’”
Ukiwa Dar unajiendea zako Mohans.huko nako kama kuna uchakachushaji basi kwisha habari
Umemaliza kila kitu.... mohans pekee ndio sehemu ya uhakika. Kuna American bourbon whisky moja tamu na watu wengi hawajaanza kuzifetua JIM BEAM itafute hutajuta. Inanyweka na watu wachache mnooo.
 
Kaka Mwachi kama hawajakuomba uwanunulie chochote waache. Tukiwa omba omba mnatusena, tukijinunulia hata hako kakinywaji kamoja napo nongwa.
Nunua sawa unywe af usikae sana watu wanasema kuna watu wengi kumbe weww ndio umejaza nafasi
 
Natafuta Hoja katika hii Thread Content yako bado sijaiona / sijaipata na nitashukuru ukinielewesha zaidi.
 
Mbona hadi wanaume wa design io wapo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa c bora hao wanaonunua bia moja wale wanaokaa nje kule jeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umemaliza kila kitu.... mohans pekee ndio sehemu ya uhakika. Kuna American bourbon whisky moja tamu na watu wengi hawajaanza kuzifetua JIM BEAM itafute hutajuta. Inanyweka na watu wachache mnooo.
Sijawahi kupenda Bourbon whiskey mkuu sijui kwanini..
JIM BEAM nimeshajaribu (old fashion )(Mika jaribu on the rocks)nikajaribu tena straight) lakini wapi😁sijawahi kuipenda pamoja na JD wote siwaelewagi.

Series za JW ninazielewa😁
 
Wanawake bhana wana mambo ya hovyo sana, nakumbuka muda kidogo mwaka 2008 nilienda pale Level 8 Bar Kilimanjaro Hyat Hotel, Kuna mademu wawili waliingia pale nadhani walikuwa ni Wazoefu na walikuwa wanajuana na Wahudumu wakaagiza maji ya kilimanjaro madogo wakajimimiminia kwenye glass za wine za rangirangi wakawa wanakunywa as if wanakunywa Whiskey yale maji walikunywa zaidi ya lisaa halafu walikuwa wamevaa kiofisi na vitambulisho kumbe walikuwa wanavizia Wazungu na Wafanyabiashara waKiume. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kiboko hii ungewatimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…