Wanawake acheni hii tabia mara moja

Wanawake acheni hii tabia mara moja

Kutana na triple distilled mkuu๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธni shida.nikijisikiaga kunywa hii miongozo basi huyu masta anakuwaga wa kwanza.
View attachment 2540228
Kuna huyu mnyama pia.huyu jamaa ni mgumu kiaina ila huwa ninampenda Kwa sababu ya harufu๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

View attachment 2540231
Shida ni kuzipata original maana pombe nyingi maarufu bongo watu wanafetua feki mnooo.... unless uende exclusive places ndio utapata vitu original . Watu wanaua Figo za watu mnooo.
 
Very sad๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”
Ukiwa Dar unajiendea zako Mohans.huko nako kama kuna uchakachushaji basi kwisha habari
 
Umemaliza kila kitu.... mohans pekee ndio sehemu ya uhakika. Kuna American bourbon whisky moja tamu na watu wengi hawajaanza kuzifetua JIM BEAM itafute hutajuta. Inanyweka na watu wachache mnooo.
 
Kaka Mwachi kama hawajakuomba uwanunulie chochote waache. Tukiwa omba omba mnatusena, tukijinunulia hata hako kakinywaji kamoja napo nongwa.
Nunua sawa unywe af usikae sana watu wanasema kuna watu wengi kumbe weww ndio umejaza nafasi
 
Morng guys

Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pauperism kwa kiingereza.

Ila pongezi kwenu wanawake ambao mkifika mnajaza savana kwenye meza ninyi pesa sio shida zenu na ninyi ndio mnatakiwa sana, asilimia mia ni nadra kuwakuta wa aina hii kuwa dependent person.
Natafuta Hoja katika hii Thread Content yako bado sijaiona / sijaipata na nitashukuru ukinielewesha zaidi.
 
Morng guys

Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pauperism kwa kiingereza.

Ila pongezi kwenu wanawake ambao mkifika mnajaza savana kwenye meza ninyi pesa sio shida zenu na ninyi ndio mnatakiwa sana, asilimia mia ni nadra kuwakuta wa aina hii kuwa dependent person.
Mbona hadi wanaume wa design io wapo, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa c bora hao wanaonunua bia moja wale wanaokaa nje kule je๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umemaliza kila kitu.... mohans pekee ndio sehemu ya uhakika. Kuna American bourbon whisky moja tamu na watu wengi hawajaanza kuzifetua JIM BEAM itafute hutajuta. Inanyweka na watu wachache mnooo.
Sijawahi kupenda Bourbon whiskey mkuu sijui kwanini..
JIM BEAM nimeshajaribu (old fashion )(Mika jaribu on the rocks)nikajaribu tena straight) lakini wapi๐Ÿ˜sijawahi kuipenda pamoja na JD wote siwaelewagi.

Series za JW ninazielewa๐Ÿ˜
 
Wanawake bhana wana mambo ya hovyo sana, nakumbuka muda kidogo mwaka 2008 nilienda pale Level 8 Bar Kilimanjaro Hyat Hotel, Kuna mademu wawili waliingia pale nadhani walikuwa ni Wazoefu na walikuwa wanajuana na Wahudumu wakaagiza maji ya kilimanjaro madogo wakajimimiminia kwenye glass za wine za rangirangi wakawa wanakunywa as if wanakunywa Whiskey yale maji walikunywa zaidi ya lisaa halafu walikuwa wamevaa kiofisi na vitambulisho kumbe walikuwa wanavizia Wazungu na Wafanyabiashara waKiume. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Kiboko hii ungewatimua
 
Back
Top Bottom