Wanawake bhana wana mambo ya hovyo sana, nakumbuka muda kidogo mwaka 2008 nilienda pale Level 8 Bar Kilimanjaro Hyat Hotel, Kuna mademu wawili waliingia pale nadhani walikuwa ni Wazoefu na walikuwa wanajuana na Wahudumu wakaagiza maji ya kilimanjaro madogo wakajimimiminia kwenye glass za wine za rangirangi wakawa wanakunywa as if wanakunywa Whiskey yale maji walikunywa zaidi ya lisaa halafu walikuwa wamevaa kiofisi na vitambulisho kumbe walikuwa wanavizia Wazungu na Wafanyabiashara waKiume. ๐ ๐ ๐ ๐ ๐