Wanawake acheni hii tabia mara moja

Wanawake acheni hii tabia mara moja

Sikia kijana mimi sinywi pombe na siendagi huko pub sijui bar and am too old for that of stuff. Ila tu sijaelewa kwa nini wewe ukereke na mtu kunywa bia yake masaa mawili ilhali hajakubughudhi kwa lolote. Naamini si Kila anayefanya hivyo anataka wewe umnunulie..huenda anamsubiria mtu? Au labda ana appointment muda fulani anasogeza muda utajuaje
Sawa nimekuelewa
 
We mwenyewe mbona unaombaga ombaga ofa humu?..au unasahau napema..kati ya comments zako 10, 3 umeomba ofa ... unapenda mitoko na hela huna...mko same boat ..mkae mjadili mnaachaje hiyo tabia๐Ÿ˜”
Mimi huwa nalopoka kuchanga msha genge tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ bhna
 
Morng guys

Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pourperism kwa kingeleza

Ila pongezi kwenu wanawake ambao mkifika mnajaza savana kwenye meza ninyi pesa sio shida zenu na ninyi ndio mnatakiwa sana asilimia mia ni nadra kuwakuta wa aina hii kuwa dependent person
Juliana ipo pande zipi nije kukuunga mkono
 
Ninyi nao mmezwa na savana [emoji23][emoji23]

Savanna, desperado, flying fish, na hizo light waweke kundi moja, lakini macalan ukikuta mwanamke yupo nayo mezani ujue kabisa hajatokea tandahimba siku hiyo , hapo ukiona anasimu na anaperuz jua anaangalia mipango ya conference za kibiashara na masoko ya mboga mboga ulaya, huyo hapepesi wala kugeukageuka hovyo ili aitwe
 
Mi baby wangu anakunywa bia moja masaaa ,kwa hiyo wengine hunywa pole pole Ndio wanapenda sio kwamba hawana hela
 
Back
Top Bottom